Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

YES
watz ni wanafiki sana..kila baya linalotukuta ni radhi ya unafiki!
Ni wanafiki sana, yaani hata wengine ninaoweza kuwafaham kifikra sikuweza kujua huo unafiki wa nini!.

Issue nyingine ni ndogo sana but akili zinapagawa kwa unafiki.

Hizo gari zilikuwepo bandarini sababu hawajui why zimechelewa kutoka wanasingizia late president Magufuri, huo ni unafiki.

TUWEKANE SAWA HAPA.
Serikali ina hisa kwenye hiyo kampuni na mabasi mengi yameharibika kutokana na miundombinu kutokuwa rafiki mfano, parking and garage pamoja na issue ya kodi.

Hivyo serikali kuharakisha stendi ya ubungo iende mbezi ili haya mabasi yatoke yaje pale ubungo. Msiwe mashetani mnaotembea hadharani.
 
Hahaaaa mabasi si ya serikali? Kodi ulitaka alipwe nani? Uongozi ni zaidi ya kupiga makelele jukwaani kama mwendazake
Ungejua mradi ule serkali ina share ndogo ungeopa.
Mle hata wewe kama unajuana na wazito unaingiza dolali nasi zako inakuja na kuingizwa kwenye mradi.
Yule mzee aliyeoa binti yumo
Yule kijana wa taifa yumo
Ujanja ujanja tu lkn tatizo ni serkali, inafanya siku zote kwa siri, ndio maana watu wanahoji uwanja kijijini MoU ziko wapi, ujanja tu
Bagamoyo port makaratasi yako wapi? Ujanja tu
Jhp mikataba wapi? Ujanja

Nchi iko kihunihuni tu utafikiri wengine wanahati miliki nayo wengine wageni yaani wakipewa dhamana wanaanza kujiona wana akiliiiii, wengine hata hizi formal education ni failure na kuungaunga vyeti na wakiambiwa ukweli wanayuma migambo kukamata msemaji.

Shida hakuna UWAZI hata kama unatufanyia zuri bila uwazi ni Ujanjaunjanja tu.

Mwenye asilimia angalau za ukweli ni Nyerere angalau amekufa maskini ,hata kama alifanya makosa ilikuwa ni udhaifu si nia ya Upigaji.
Wengine ni Wajanja sana

Niwapongeze viongozi wangu wa awamu zote.
Ila jueni kuna ujanja mwingi kwa wale mliowapa dhamana ya maamuzi
 
Haya Mabasi yalikuwa yamefungiwa ubungo dry port tangia 2018, mabasi 100, labda wadau wa tra watuambie kwa nini yaliwekwa bounded warehouse!?
 
Kibaha si mmejengewa barabara ya njia 8
kibaha na DSM ni kitu kimoja tu, tena ilipaswa kibaha maili moja iwe ktk mkoa wa DSM.
waache wapewe mwendo kasi. sioni kwa nn mwendo kasi zizifike kibaha.
mbunge wao yuko kimya kama vile hajui adha inayo wakumba wananchi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Mabasi yalikuwa yamefungiwa ubungo dry port tangia 2018, mabasi 100, labda wadau wa tra watuambie kwa nini yaliwekwa bounded warehouse!?
Duh mabasi 100 ( mia moja) yangekuwa yanafanya kazi TRA wangepokea kodi kiasi gani kwa mwaka ?
 
Msukuma huwa ni mshamba siku zote hata awe na pesa vip au awe na elimu vp ushmba ni asili yao tu
 
Kuna muda naona watunga Sheria hawana akili timamu kichwani yaani mtu kaagiza roli zake Tano ila Hana hela ya kulipia Kodi kuyatoa bandarini kafeli
Halafu TRA wanayazuia Kwa miaka zaidi ya mitatu mbaka update Kodi ukayakomboe Sasa hapo si kujichelewesha kwanini wasikupe yakendelee kupiga kazi Kwa mkataba kufidia Kodi kuliko kuendelea kuozea hapo bandarini

Hebu wataalam mkuje mnipe mwongozo kwanini hii kitu ishindikane?
 
Mama muone huyu atakufaa kwenye Baraza lako
 
Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.

Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
Yaleyale yamepigwa sabuni
 
Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
Kwani ni mali ya nani, mie nilijua yoote ni ya serikali maana Majaliwa alimtimua mtu kazi kwa kosa la kutoyatunza vizuri
 
Ukianza itumia leo simu ambayo uliinunua 2017 sababu uliiweka kwenye kabati utaiita mpya?
Kw hiyo babu simu zinazokaa dukani hata miaka 2 hazijanunuliwa, je siku atakayeinunua akasema nimenunua simu mpya inapaswa tumuite ni mpambavu eeh?
 
Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
Wamepunguziwa Import Tax kutoka 25 hadi 10
 
Back
Top Bottom