barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Da kibaha maili moja mbali sana...hapo ni treni labdakibaha na DSM ni kitu kimoja tu, tena ilipaswa kibaha maili moja iwe ktk mkoa wa DSM.
waache wapewe mwendo kasi. sioni kwa nn mwendo kasi zizifike kibaha.
mbunge wao yuko kimya kama vile hajui adha inayo wakumba wananchi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app