Sawa we unajuaWala cfahamu ndo nimekutana nayo leo
Usijifanye mjuaji wakati hakuna unachojua kwani mm siwezi tofautisha kitu kipya na used wkt kipya kinaonekana hata kwa macho wala huitaji kwenda shule
Pia tukumbuke kuishi na watu vizuri..kuheshimu watu ili tukifa tuache historia nzuriVijana tukumbuke kuchapa kazi kwa manufaa ya familia zetu na watu wanaotutegemea
Wameshapiga hela, kama ndio yale yaliyokua bandarini yameletwa ila hayajalipiwa kodi...Jiwe akagoma yasitoke akidhani wale jamaa aliowavunjia nyumba Kimara watafaidi sana. Bora amekwenda zake
Hahaaaa mabasi si ya serikali? Kodi ulitaka alipwe nani? Uongozi ni zaidi ya kupiga makelele jukwaani kama mwendazakeWameshapiga hela, kama ndio yale yaliyokua bandarini yameletwa ila hayajalipiwa kodi...
Ukianza itumia leo simu ambayo uliinunua 2017 sababu uliiweka kwenye kabati utaiita mpya?Kwa hiyo sio mapya yalikuwa yanatumika huko bandadini sio?
Sasa kwanini asishukuriwe kwa kazi aliyoifanya kwa miezi 3 ambapo ilimshinda mtu kwa miaka 3.
Ficha ujinga wako
Tatizo hujui dart ni nini na udart ni nini na mmiliki wa mabasi ni nani kati ya hawa wawili na kila mtu kazi yake ni nini...Hahaaaa mabasi si ya serikali? Kodi ulitaka alipwe nani? Uongozi ni zaidi ya kupiga makelele jukwaani kama mwendazake
Kama haikutumika bhasi ni mpya, ila kama ilitumika hata kidogo haiwezi kuwa mpya. Upya wa kitu ni matumizi na sio mwaka ilionunuliwa.Ukianza itumia leo simu ambayo uliinunua 2017 sababu uliiweka kwenye kabati utaiita mpya?
Nilichokuja kugundua kumbe Kimara huko walikovunja nyumba wakikaa wachaga wengi hivo jamii nzima ya wachaga wanamchukia magu sababu wanaona walionewa japokuwa kweli wanajua walikuwa wanakaa kwenye eneo la barabara tena barabara kubwa yakuingilia jijini Dar.Jiwe akagoma yasitoke akidhani wale jamaa aliowavunjia nyumba Kimara watafaidi sana. Bora amekwenda zake
Kwamba kwa jina ulilojijengea huku, unataka kusahau kuwa serikali hainunui mali USED? Miezi 3 toka apishwe kuwa amenunua magari na tayari yako barabarani?Kayafa
kwa hiyo kwa kuwa yalikwama bandarini ni used?Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
Kwakweli m mwenyewe nataman niyaone nisuuze macho ,hata nismulieMwenye picha tasavali kwaajili ya watu wa mikoani
Tunajua yalikuwepo miaka mingi lakini yule baba yako roho kutu mnafiki akayawekea zengwe almanusura yawe chuma chakavu.Aisee hujui kuwa yalikuwepo hapo bandarini kitambo
Wale wa Mwanza waliokwenye hifadhi unakumbuka alisemaje? Magu alikuwa mbaguzi asiyejua hata kuchunga ulimi wake.Nilichokuja kugundua kumbe Kimara huko walikovunja nyumba wakikaa wachaga wengi hivo jamii nzima ya wachaga wanamchukia magu sababu wanaona walionewa japokuwa kweli wanajua walikuwa wanakaa kwenye eneo la barabara tena barabara kubwa yakuingilia jijini Dar.
Nilichokuja kugundua kumbe Kimara huko walikovunja nyumba wakikaa wachaga wengi hivo jamii nzima ya wachaga wanamchukia magu sababu wanaona walionewa japokuwa kweli wanajua walikuwa wanakaa kwenye eneo la barabara tena barabara kubwa yakuingilia jijini Dar.
Mjinga ni wewe unayedhani unaakili kuliko walioyatoa. Huo ujinga kaa nao huku ukiendelea kuamini Magu atarudi upate ahueniTatizo hujui dart ni nini na udart ni nini na mmiliki wa mabasi ni nani kati ya hawa wawili na kila mtu kazi yake ni nini...
Siko hapa kukutoa ujinga wako, ni mzigo wako huo...
OkKama haikutumika bhasi ni mpya, ila kama ilitumika hata kidogo haiwezi kuwa mpya. Upya wa kitu ni matumizi na sio mwaka ilionunuliwa.
Hayo mabasi watu wakiyaona barabarani wataona sio mapya?Ok
Kwenye vitu ambavyo vinappteza thani sio kipya tena hata kwenye mahesabu ya kiaccount sio kitu kipya
Hapana ni basi mpyaMabasi yamebandikwa stika mpya we unasema mapya? Stika za Neel Salt wametoa wameweka matangazo mapya we unaita gari mpya acha uchizi