barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Da kibaha maili moja mbali sana...hapo ni treni labdakibaha na DSM ni kitu kimoja tu, tena ilipaswa kibaha maili moja iwe ktk mkoa wa DSM.
waache wapewe mwendo kasi. sioni kwa nn mwendo kasi zizifike kibaha.
mbunge wao yuko kimya kama vile hajui adha inayo wakumba wananchi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28]acha kuzingua bana,aliyekuwa anayazuia yasitoke bandarini huku raia wanateseka ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabasi yamebandikwa stika mpya we unasema mapya? Stika za Neel Salt wametoa wameweka matangazo mapya we unaita gari mpya acha uchizi
Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.
Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
hata wasingepunguziwa import tax ikabakia 25%, lakn wakawa wanalipa kidgo kidgo kwa mkataba kama mdau alivyo shauri, tangu kipindi hicho hadi sasa tungekuwa mbaliWamepunguziwa Import Tax kutoka 25 hadi 10
Kwa hiyo bandarini yalikuwa yanatumika?Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
Mpe muda acha bangiMaza alipe wastaafu,wanateseka kichizi huko kitaa.
Sawa mke wangu mtamu.Mpe muda acha bangi