Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani" inamaana" watu wenye kipato cha kati na chachini" ambao wanandoto ya kuja kuwa" wagombea" uraisi" wasahau kabisa kuhusu hilo"... hahahaa Africa raha sana
Alizuiwa kwa nguvu asiingie Congo na muda wa kuchukua Fomu umeisha.Katumbi vipi kachukua fomu?
Tika biso tolingana tolongola kanda na mitemaShentemba mokili mobimba
KUPE KUPE KUBAMBATika biso tolingana tolongola kanda na mitema
Yo ofingi ngai?KUPE KUPE KUBAMBA
Tshekendi na Bemba wote hawana tofauti na JokateSasa wakimtoa Bemba si kura zitahamia kwa Tshekedi na upinzani kushinda kwa urahisi?
Congo sio maskini ,Congo kuna watu wana hela balaa ,njoo uone huku dola zinavyochezewaJamani kuchukua form $100,000?!!
Halafu so far wameshakua form 26 people.
Halafu mnasema Congo masikini.
Halafu...
Congo sio maskini ,Congo kuna watu wana hela balaa ,njoo uone huku dola zinavyochezewaJamani kuchukua form $100,000?!!
Halafu so far wameshakua form 26 people.
Halafu mnasema Congo masikini.
Halafu...
Mkuu nadhani sasa kuna haja ya kuangalia ,waliko wapiga kura na kura zenyewe ili tuone nani anaweza ibuka mshindi ( wazo tu)Alizuiwa kwa nguvu asiingie Congo na muda wa kuchukua Fomu umeisha.
Mkuu vital kamerrhe kachukua fomu???Mkuu nadhani sasa kuna haja ya kuangalia ,waliko wapiga kura na kura zenyewe ili tuone nani anaweza ibuka mshindi ( wazo tu)
NdiyoMkuu vital kamerrhe kachukua fomu???