Tetesi: Rais Kabila kuwa Waziri Mkuu Congo DRC baada ya uchaguzi.

Nipe muda ,nitalifanyia kazi ,ila nitakua nadondosha ktk Uzi km hz,kuanzisha Uzi rasmi ngumu kdg

Sio Mzuri ktk uandishi Mkuu
Yah uchambuzi ukiendelea humu itakuwa poa kwasababu kutakuwa na floor nzuri ya mjadala 🙏🏼🙏🏼
 
Nilishasema mim uyo mtu kigeu geu akiwa wazir mkuu

Huko mbelen atakuja tena kupindua nchi na kuwa rais
Siyo lazima Rais awe na madaraka makubwa; anaweza akawa "CEREMONIAL PRESIDENT" waziri mkuu akawa ndiye kiongozi wa serikali
 
Huu ndo ujinga hivi mnategemea wagombea 26 wote wachukue Fomu afu Chama Tawala kinachoongozwa na Kabila kitoke Madarakani,wanaota hawa watu wacha waendelee kutawaliwa tuu ndo demokrasia yenyewe hiyo.
 
Binafsi sishangai mbon Urusi, Utawala wa PUTIN na MEDVEDEV tunaona wanapokezana tu Uraisi na Uwaziri mkuu. Tena urusi ni nchi kubwa kuliko zote duniani na ina uchumi mkubwa tu.
 
Nawe kuwaga muelewa, Putin na huyo Comrade ni damu halisi za USSR unataka watoke halafu Marekani awazingue? Hao majamaa wanalinda interest za Russia kwa muda wote, unataka ya Gorbachev yajirudie? Najua Putin wanamhara sasa huyo Kunambe analinda interest za Congo kiaje labda?
 
Hizo interest ni zipi mbona huzitaji? Kwa maana hiyo wao wawili tu ndio wazalendo wa kweli kwenye nchi ya Urusi?
 
.yanayoendelea Congo
IMG_20180810_220708.jpg
 
Nipo hapa nasikiliza radio DW ya Germany kipindi cha maoni. Mbunge wa PPRD Franswaa Nzekuye, anakiri huenda Emmanuel Shadari akawa Rais miaka mitano na kama wananchi wakimkumbuka Kabila, basi Shadari atakuwa Rais wa awamu moja na Kabila atarudi tena. Pia kasema hakuna cha kumzuia Kabila kuwa waziri mkuu. Fuatilieni kipindi hiki.
 
Hahaha,mkuu niko mbali na radio ,ila hayo yasemwayo yawezekana

Kabila na Shadari wamewashika wacongo ,utasikia jingine soon we subiri tu ,hilo litakuchekesha zaidi
 
Back
Top Bottom