Tetesi: Rais Kabila kuwa Waziri Mkuu Congo DRC baada ya uchaguzi.

Copy paste Putin Medyevdev style in Russia!
Kaache kang'ang'anie madaraka kataondokea kwenye box kakiwa RIP kama baba yake Laurent Desire Kabila! Hakajakoma.
 
...kuelekea uchaguzi RDC 2018
IMG_20180811_212747.jpg
 
Hahaha,mkuu niko mbali na radio ,ila hayo yasemwayo yawezekana

Kabila na Shadari wamewashika wacongo ,utasikia jingine soon we subiri tu ,hilo litakuchekesha zaidi
Kipindi kitarudiwa radio DW kiswahili Leo jioni Saa 11 kwa saa Congo na 12 saa za Africa Mashariki.
 
Mtu Chake unakula bata tu Lubumbashi, Leo huonekani huku!!
 
Dah nilikua kwa Misa Mkuu, nimesali huko likasi ndio nimeingia Lubumbashi ,nisamehe kaka Samahani wakuu,kifupi ni kwamba wanataka Moise nae asamehewe km Pierre Bemba aweze kugombea
Samahani kuna kitu binafsi kinamhusu Kabila nikuulize, huyu mheshimiwa kuna kipindi alionesha dalili ya kuwa na Kipara, naona kimepotea ghafla. Kuna siri gani hapa juu ya kichwa cha mheshimiwa Rais?
 
Alikua ananyoa upara au alikua na kipara?, JK Jr ktk serikali yake yy ni mdg ki umri ,karibu mawaziri wote wanamzidi umri, wengi walikua enzi ya Mobutu na Kabila sr

Kufuga nywele nyingi na kuacha ndevu ( mzuzu) ni kujiongeza tu at least aonekane Mkubwa ( MTU wa makamo) lkn pia anampenda sana Che Guevara

Nimejibu vile navyojua
 
Dah nilikua kwa Misa Mkuu, nimesali huko likasi ndio nimeingia Lubumbashi ,nisamehe kaka Samahani wakuu,kifupi ni kwamba wanataka Moise nae asamehewe km Pierre Bemba aweze kugombea
Habari mkuu, naomba niku pm.
 
Alikua ananyoa upara au alikua na kipara?, JK Jr ktk serikali yake yy ni mdg ki umri ,karibu mawaziri wote wanamzidi umri, wengi walikua enzi ya Mobutu na Kabila sr

Kufuga nywele nyingi na kuacha ndevu ( mzuzu) ni kujiongeza tu at least aonekane Mkubwa ( MTU wa makamo) lkn pia anampenda sana Che Guevara

Nimejibu vile navyojua
Anampendaje Che Guevara wakati nasikia kaiba Franca nyingi za Congo? Che Guevara alikuwa socialist asiyependa Mali!
 
Dawa yake ni shaba tu kwa maslahi mapana ya nchi hiyo kama ilivyokuwa kwa babaake wa kambo.
 
Back
Top Bottom