Tetesi: Rais Kabila kuwa Waziri Mkuu Congo DRC baada ya uchaguzi.

Kablia hawezi kukubali kirahisi hivyo kuiachia DRC... ameshawekeza...

Bado atangangana kwa namna moja au nyingine...


Cc: mahondaw
 
Yaani" inamaana" watu wenye kipato cha kati na chachini" ambao wanandoto ya kuja kuwa" wagombea" uraisi" wasahau kabisa kuhusu hilo"... hahahaa Africa raha sana


Nchi itakuwa ya wenye nazo tu, na watazidi kuzichota.
Halafu hapo watakwambia kuna Demokrasia wakati wamegeuza Uchaguzi kuwa mtaji na biashara.
Raha ilioje!
 
Nilikua napenda sana Katumbi aingie kwenye kinyang'anyiro ili tuone mpambano haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…