Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #41
Njoo na uchambuzi wa kijimbo au kanda na idadi ya wapiga kura na ni ngome ya nani nk.Mkuu nadhani sasa kuna haja ya kuangalia ,waliko wapiga kura na kura zenyewe ili tuone nani anaweza ibuka mshindi ( wazo tu)
Nipe muda ,nitalifanyia kazi ,ila nitakua nadondosha ktk Uzi km hz,kuanzisha Uzi rasmi ngumu kdgNjoo na uchambuzi wa kijimbo au kanda na idadi ya wapiga kura na ni ngome ya nani nk.
Mkuu zitto junior ,nguli wote wa siasa Congo wamechukua fomu ,kasoro Moise katumbi tuMkuu vital kamerrhe kachukua fomu???
Ndiyo
Kama ni hivyo basi sina imani na huo uchaguzi kama vile naona mapandikizi ni wengi kuliko wapinzani.... Kwa staili hii bora tu kabila aendeleeMkuu zitto junior ,nguli wote wa siasa Congo wamechukua fomu ,kasoro Moise katumbi tu
Hahaha ,na ndivyo hivyoKama ni hivyo basi sina imani na huo uchaguzi kama vile naona mapandikizi ni wengi kuliko wapinzani.... Kwa staili hii bora tu kabila aendelee
Yah uchambuzi ukiendelea humu itakuwa poa kwasababu kutakuwa na floor nzuri ya mjadala 🙏🏼🙏🏼Nipe muda ,nitalifanyia kazi ,ila nitakua nadondosha ktk Uzi km hz,kuanzisha Uzi rasmi ngumu kdg
Sio Mzuri ktk uandishi Mkuu
Mibali bibamba moko nanzaliTika biso tolingana tolongola kanda na mitema
Siyo lazima Rais awe na madaraka makubwa; anaweza akawa "CEREMONIAL PRESIDENT" waziri mkuu akawa ndiye kiongozi wa serikaliNilishasema mim uyo mtu kigeu geu akiwa wazir mkuu
Huko mbelen atakuja tena kupindua nchi na kuwa rais
SawaNipe muda ,nitalifanyia kazi ,ila nitakua nadondosha ktk Uzi km hz,kuanzisha Uzi rasmi ngumu kdg
Sio Mzuri ktk uandishi Mkuu
Haya mambo yapo hata ulaya fuatilia utawala wa PUTIN na MEDVEDEV ndio ulaumu waafrika, Urusi ni taifa kubwa duniani lakini mambo yao ni kama huku tu mkuuSiasa za Afrika ni kichefuchefu!
Nawe kuwaga muelewa, Putin na huyo Comrade ni damu halisi za USSR unataka watoke halafu Marekani awazingue? Hao majamaa wanalinda interest za Russia kwa muda wote, unataka ya Gorbachev yajirudie? Najua Putin wanamhara sasa huyo Kunambe analinda interest za Congo kiaje labda?Binafsi sishangai mbon Urusi, Utawala wa PUTIN na MEDVEDEV tunaona wanapokezana tu Uraisi na Uwaziri mkuu. Tena urusi ni nchi kubwa kuliko zote duniani na ina uchumi mkubwa tu.
Hizo interest ni zipi mbona huzitaji? Kwa maana hiyo wao wawili tu ndio wazalendo wa kweli kwenye nchi ya Urusi?Nawe kuwaga muelewa, Putin na huyo Comrade ni damu halisi za USSR unataka watoke halafu Marekani awazingue? Hao majamaa wanalinda interest za Russia kwa muda wote, unataka ya Gorbachev yajirudie? Najua Putin wanamhara sasa huyo Kunambe analinda interest za Congo kiaje labda?
Mtu chake nakuaminia, uzidi kuja na update na tetesi.yanayoendelea Congo View attachment 832395
Tuko pamoja MkuuMtu chake nakuaminia, uzidi kuja na update na tetesi
Hahaha,mkuu niko mbali na radio ,ila hayo yasemwayo yawezekanaNipo hapa nasikiliza radio DW ya Germany kipindi cha maoni. Mbunge wa PPRD Franswaa Nzekuye, anakiri huenda Emmanuel Shadari akawa Rais miaka mitano na kama wananchi wakimkumbuka Kabila, basi Shadari atakuwa Rais wa awamu moja na Kabila atarudi tena. Pia kasema hakuna cha kumzuia Kabila kuwa waziri mkuu. Fuatilieni kipindi hiki.