Tetesi: Rais Kabila kuwa Waziri Mkuu Congo DRC baada ya uchaguzi.

Daah hii style ya kujidai Waziri Mkuu inapendeza mno
 
Ni kibaraka wake huyo...[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezagi kumuongelea mtu km mtu zaidi ,nachojua ni hivyo tu basi Mkuu

Hayo ya kuiba kutokuiba mm sijui
Kile kikosi cha ku pull trigger dhidi ya Kabila ni lini wata pull trigger. Inatakiwa Jan - March kiwe kimeeleweka na vijana wapo tayari, wasije wakaishie kujifunza kupiga magitaa na kukata viuno tu.
 

Shadari na Kabila JKT MAKUTOPORA
 
Vital Kamerhe ameteuliwa kuwa Katibu kiongozi ikulu na President Felix

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado shida itaendelea kuikumba DRC maana aliyetangazwa keshafunga ndoa na kabila na hakupita kwa mjibu wa takwimu za kura zilizopigwa hata yeye hana ushahidi wa kuthibitisha ushindi wake zaidi ya kumtegemea kabila fake.

Ikiwa mahakama DRC zipo huru basi huenda uchaguzi ukarudiwa ama akatangazwa aliyeshinda kwa mjibu wa katiba yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana jukwaani , Join date 6/1/2019 , tangu tuwe hapa hatukupewa vitisho pekee , bali wamejaribu hata kutuloga ila imeshindikana , labda ujaribu wewe .
Nimekueleza facts ndugu soma text yangu tena me uielewe. Nikupe tuu taarifa kwa nini nimekuambia hivyo, hiyo picha ni ya kwangu sasa unavyo andika vitu tofauti na tukio la kwenye picha bila kwa na uhakika ina kuwa siyo kitu kuzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…