Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

DRC walishawatambua kitambo ila wachache wao walikaidi kwa kurud msituni , kamsikilize Kikwete ameleezea vzr tu , ttzo ni Kagame anataka mgogoro huu upambe moto ili aendelee kuiba
Tunaomba link ya Kikwete kuhusu Banyamulenge
 
🀣🀣🀣🀣yani kimekaa fujofujo tu
Nashangaa wanamuacha kwa nini!

Anawasumbua kila siku Burundi na DRC, hata sisi siyo nchi rafiki.

Hapa mnaingia full metal jacket, Tanzania, Burundi na DRC, zikisaidiwa na nchi rafiki kama SA na Zambia,

Mnawagonga wanakimbilia Rwanda mnawafuata hukohuko, wanakimbilia Kigali mnanyooka nao hukohuko, mnaenda kumuondoa huyo fidodido pumbafu kabisa.
 
Ila haka kajamaa lizima kana backup nyuma yake sio bure.
 
Kagame ni pasua kichwa Afrika. Hata likitatuliwa hili tatizo kwa jinsi yeye anavyotaka, kesho atakuja na tatizo jingine.
Jibu halisi kwake linafahamika kwa waafrika wote na nchi zote za Afrika. Sikutegemea suluhisho lolote katika mkutano huo.
Suluhisho kamili ni kwa nchi za kiifrika kukaa bila Kagame na kutafuta njia ya kumaliziana nae. Tatizo sio M23, Tatizo ni Kagame.
 
Anatakiwa kwanza akatatue matatizo ya HAKI ZA WAHUTU huko Rwanda na wakimbizi waliomkimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…