Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

DRC walishawatambua kitambo ila wachache wao walikaidi kwa kurud msituni , kamsikilize Kikwete ameleezea vzr tu , ttzo ni Kagame anataka mgogoro huu upambe moto ili aendelee kuiba
Tunaomba link ya Kikwete kuhusu Banyamulenge
 
🤣🤣🤣🤣yani kimekaa fujofujo tu
Nashangaa wanamuacha kwa nini!

Anawasumbua kila siku Burundi na DRC, hata sisi siyo nchi rafiki.

Hapa mnaingia full metal jacket, Tanzania, Burundi na DRC, zikisaidiwa na nchi rafiki kama SA na Zambia,

Mnawagonga wanakimbilia Rwanda mnawafuata hukohuko, wanakimbilia Kigali mnanyooka nao hukohuko, mnaenda kumuondoa huyo fidodido pumbafu kabisa.
 
Ila haka kajamaa lizima kana backup nyuma yake sio bure.
 
“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda:" amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC
Kagame ni pasua kichwa Afrika. Hata likitatuliwa hili tatizo kwa jinsi yeye anavyotaka, kesho atakuja na tatizo jingine.
Jibu halisi kwake linafahamika kwa waafrika wote na nchi zote za Afrika. Sikutegemea suluhisho lolote katika mkutano huo.
Suluhisho kamili ni kwa nchi za kiifrika kukaa bila Kagame na kutafuta njia ya kumaliziana nae. Tatizo sio M23, Tatizo ni Kagame.
 
Kwani Kagame ni mkongoman?
Matatizo ya Banyamlenge kutokutambulika na serikali ya Congo yanamhusu vipi yeye Kagame ambaye ni mnyarwanda?
Kama anaumia kwa Banyamlenge kutokutambuliwa na serikali ya DRC kwanini asiwachukue yeye na kuwafanya kuwa wanyarwanda?
Anatakiwa kwanza akatatue matatizo ya HAKI ZA WAHUTU huko Rwanda na wakimbizi waliomkimbia.
 
Back
Top Bottom