Rais Kagame ataka M23 watambuliwe na Serikali ya DR Congo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na Congo bila mafanikio huku akisisitiza kuwa suluhisho la kudumu linahitajika badala ya lawama zinazoelekezwa kwa Rwanda kila tatizo linapotokea DRC.

"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki, Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo.” — amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC.

“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda" — amesema Kagame.
 
"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki, Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo.”

“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda:" amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC.
 
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na Congo bila mafanikio huku akisisitiza kuwa suluhisho la kudumu linahitajika badala ya lawama zinazoelekezwa kwa Rwanda kila tatizo linapotokea DRC.

"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki, Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo.” — amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC.

“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda" — amesema Kagame.
Huyu mtu ni mnafiki sana, Kikwete akimshauri akae na wahutu wakimbizi waliopo kongo alikataa,kwa matusi na vitisho! Mbwa sana huyu
 
“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda".
Kagame kaongea ukweli mtupu

Hatuwezi kupotezeana muda wa mavikao yasiyo na tija kila siku wakati tatizo linajulikana.
 
M23 wanapewa backup na Rwanda, Rwanda anapewa backup na France, UK, Uganda... pamoja na Vigogo wenye utajiri wa kutisha.

Ili Congo Amani ipatikane lazima Congo wasimame man 2 man na Rwanda.
 
Kagame kaongea ukweli mtupu

Hatuwezi kupotezeana muda wa mavikaio yasiyo na tija kila siku wakati tatizo linajulikana.
Hakuna ukweli wowote hapo, anasema anasingiziwa kufanya uporaji na kuleta vurugu congo halafu wakati huohuo anakua msemaji wa m23,akitaka pasiwe na vikao aache kutia mkono congo, atulie na kinchi chake kidogo kama chumba cha draft
 
Hapo aliposema vita ya kikabila yuposahih. Nkweli ni vita ya kikabila. Ila kuhusu congo kukaa na m23 amebugi, kwani yeye kama nani mpaka congo wakubali anachotaka?.
Kwanin hafikilii ugumu au hatari anayoipata kukaa meza moja na FDLR?badala yake anaona ni rahisi kwa congo kukaa na m23?.
Sema jambo zuri ni kwamba ameeleweka vizuri sana.
 
Kagame ni mtu mwenye akili sio nyie takataka nchi yenu inauzwa mmekalia mpira tu🤣🤣
Mkuu nkweli prezda PK anaakili sana, lakin ukweli nkwamba sis wengine hatuna la kujfunza kwake coz interests zake sio zetu, labda sijui kwa upande wako wewe huko.
Au tuseme unataman ku-edit vitabu vya imani yako ili uchomekee mazuri yake yanayokukonga moyo yasomwe na vituu vyako kama habar za mwana wa Yese.
 
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge?

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati usalama wake unahatarishwa na DRC na kubainisha kuwa Rwanda imejaribu mara nyingi kuzungumza na Congo bila mafanikio huku akisisitiza kuwa suluhisho la kudumu linahitajika badala ya lawama zinazoelekezwa kwa Rwanda kila tatizo linapotokea DRC.

"Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki, Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo.” — amesema Kagame akizungumza kwenye mkutano wa EAC-SADC.

“Hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda" — amesema Kagame.
Kwani Kagame ni mkongoman?
Matatizo ya Banyamlenge kutokutambulika na serikali ya Congo yanamhusu vipi yeye Kagame ambaye ni mnyarwanda?
Kama anaumia kwa Banyamlenge kutokutambuliwa na serikali ya DRC kwanini asiwachukue yeye na kuwafanya kuwa wanyarwanda?
 
Back
Top Bottom