macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kabisa. Pamoja na ubovu wa CCM nitashangaa sana kama wataingia kwenye huu mtego. Tanzania isikubali kabisa. Hawa kina Kagame wana lengo lao na siyo kuwapenda waafrika.Ilo wasahau.
Kabisa. Pamoja na ubovu wa CCM nitashangaa sana kama wataingia kwenye huu mtego. Tanzania isikubali kabisa. Hawa kina Kagame wana lengo lao na siyo kuwapenda waafrika.
Waafrika kuwapa visa free ni kujaza matapeli tu kwenye ardhi yako
Tanzania tujitahid sana kuoffer tu Mataifa machache tunaofanya nao biashara
Wanaijeria watajaaa hapa kuuza mpaka juice🤣
Huko kenya na rwanda hata ardhi ya kilimo shida maeneo yanamilikiwa na matajiri wachacheKwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.
Kuna huko Israel kuna Ardhi ya kutosha?Huko kenya na rwanda hata ardhi ya kilimo shida maeneo yanamilikiwa na matajiri wachache
Visa hatufuti Mjomba......Kuna huko Israel kuna Ardhi ya kutosha?
Huku Tanzania tumetawaliwa na ujinga wa kila mtu kujijengea anavyotaka hivyo ardhi kwa ajili ya kilimo nako inakuwa kama hakuna.
Ulishawai kusikia ugomvi wa wakulima na wafugani huko Rwanda penye ardhi finyu?
Tanzania ardhi kubwa ila akili ya ni finyu kwa ajili ya matumizi.
Pia, uwezi kufanya kilimo cha biashara kama wewe siyo tajiri...
Kwani tumeendelea kuliko wanaofuta visa? Au umejifungia ndani ya mtungi ujui watu kutoka Kenya walivyokwisha teka mabonde huko Morogoro wanapiga pesa tu. Tafuta pesa ata Nairobi na Kigali utaweza kununua ardhi na kuwekeza pia kama hauna pesa wageni kutoka Kenya na Rwanda watakuja kuwekeza tu kwenye hiyo ardhi.Visa hatufuti Mjomba......
Eti utalii, kama mtalii hawezi lipa hata Viza anakuja kufanya nini?
Hivi inahitaji Diploma kujua hili la Free Visa ni mtego mtu anategwa?
Mjomba Visa hatufuti......Kwani tumeendelea kuliko wanaofuta visa? Au umejifungia ndani ya mtungi ujui watu kutoka Kenya walivyokwisha teka mabonde huko Morogoro wanapiga pesa tu. Tafuta pesa ata Nairobi na Kigali utaweza kununua ardhi na kuwekeza pia kama hauna pesa wageni kutoka Kenya na Rwanda watakuja kuwekeza tu kwenye hiyo ardhi.
Kwani Sasa hivi mnashindwa nini kulisha dunia nzima?????Tuna nchi yetu na yenye ardhi ya rutuba ,tunaweza tukalima na kuilisha dunia nzima. Misitu ya kutosha yaani kwa kifupi hatuhitaji undugu ama kujikomba kwaa majirani
Hayo ndio mambo ya kimaendeleo yenye mwelekeo wa kuweza kuinganisha Afrika, sio zile blah blah za vikao vya nusu karne bila matokeo.Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia Rwanda.
Kwa mujibu wa Kagame, kigezo cha Viza kimekuwa kikwazo maendeleo na ikiwemo kupunguza idadi ya Watalii wakati bara la Afrika ndio kituo kikuu cha Utalii duniani. Hivyo, Nchi za Afrika zinazondelea kutumia kigezo hicho ni zinajikwamisha zenyewe.
Rwanda inakuwa Nchi ya 4 barani Afrika kufuta kigezo cha Viza kwa raia wake kufanya safari za ndani ya Bara. Nchi nyingine ni Benin, Ushelisheli na Gambia. Kenya itakuwa Nchi ya 5 kama itatekeleza ahadi yake ifikapo mwisho wa mwaka 2023.
============
Rwanda announced Thursday that it will allow Africans to travel visa-free to the country, becoming the latest nation on the continent to announce such a measure aimed at boosting free movement of people and trade to rival Europe’s Schengen zone.
President Paul Kagame made the announcement in the Rwandan capital, Kigali, where he pitched the potential of Africa as “a unified tourism destination” for a continent that still relies on 60% of its tourists from outside Africa, according to data from the United Nations Economic Commission for Africa.
“Any African, can get on a plane to Rwanda whenever they wish and they will not pay a thing to enter our country” said Kagame during the 23rd Global Summit of the World Travel and Tourism Council.
“We should not lose sight of our own continental market," he said. "Africans are the future of global tourism as our middle class continues to grow at a fast pace in the decades to come."
Once implemented, Rwanda will become the fourth African country to remove travel restrictions for Africans. Other countries that have waived visas to African nationals are Gambia, Benin and Seychelles.
Kenya’s President William Ruto announced Monday plans to allow all Africans to travel to the East African nation visa-free by December 31.
“Visa restrictions amongst ourselves is working against us. When people cannot travel, business people cannot travel, entrepreneurs cannot travel we all become net losers” said Ruto at an international summit in Congo Brazzaville.
The African Union in 2016 launched an African passport with much fanfare, saying it would rival the European Union model in “unleashing the potential of the continent.” However, only diplomats and AU officials have been issued the travel document so far.
The African Passport and free movement of people is "aimed at removing restrictions on Africans ability to travel, work and live within their own continent,” The AU says on its website.
AU also launched the the African Continental Free Trade Area, a continent-wide free trade area estimated to be worth $3.4 trillion, which aims to create a single unified market for the continent’s 1.3 billion people and to boost economic development.
Mie huwa nawacheki wanaodisi tz ,tembea ndio utarudi utaiona nchi yetu Ni yenye Neema kubwa ishu kubwa Ni uongozi mbayaKitu ambacho ni special huwezi kukuta Kenya na Rwanda ni Ardhi kubwa yenye rutuba na maliasili Kama madini, mlima Kilimanjaro , ngorongoro crater , Serengeti nk
Hivi ni vitu muhimu sana duniani na vya kipekee.
Na tangu dunia imeumbwa Tanzania ipo eneo muhimu sana ( strategic located) katika ukanda huu wa afrika huku nchi zote za afrika ya Mashariki na Kati zikitegemea Tanzania kwa namna ya kipekee .
Ni kweli nchi yetu ina neema kubwa sana kwa kuwa na Rasilimali nyingi sana za asili (Natural Resources), lakini wakati huo huo nchi yetu ina bahati mbaya kubwa sana kupita kiasi kwa kuwa na watu (Wananchi) wengi zaidi wasiokuwa na maarifa mazuri (akili nzuri) ya kuweza kupanga, na kusimamia matumizi bora zaidi ya rasilimali nyingi tulizonazo. Yaani kama vile upele umeota kwa mtu asiye na kucha na ambaye hawezi kujikuna.Mie na
Mie huwa nawacheki wanaodisi tz ,tembea ndio utarudi utaiona nchi yetu Ni yenye Neema kubwa ishu kubwa Ni uongozi mbaya
Ninatafuta mdau siku mojaa tuibuke huu utalii tukaufanye pia wanapenda watanzania,hata Kongo ukiongea kiswahili mademu wanashobokajeLabda utalii wa ngono Cha zaidi kufuata Rwanda hakipo
Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.