mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ngoja nitafute nauli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sina uraia wa kule ila kama mwandishi wa habari mbobezi wa habari za kijasusi,,naelewa lengo la hii free movement.We lini unarudi mkuu!!?
Hii free movement inamaanish Nini hasa kwa Rwanda na lengo la siasa zao!!?
Tunakuja kaka! Sema ngoja nifiche bango la kataaa ndoaKaribuni Rwanda
POPULARTY WOLDRWIDE NDIO LENGO LA HII FREE MOVEMENTWe lini unarudi mkuu!!?
Hii free movement inamaanish Nini hasa kwa Rwanda na lengo la siasa zao!!?
Wewe ni mdau?Tunakuja kaka! Sema ngoja nifiche bango la kataaa ndoa
Online mbele ya fake ID mimi ni active member!Wewe ni mdau?
KIuhalisia umepiga kambi moja na mwana😂Online mbele ya fake ID mimi ni active member!
Hyo umesema ww ndugu yangu! Ila kiukwel bado sijaoa na sijafikiriaKIuhalisia umepiga kambi moja na mwana😂
HatudanganyikiWao wanataka na Tanzania ifanye ivyo ivyo.
AMANI yetu ni very special kuliko kote huko mkuuKwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.
Muongeze na hiki kidonge Cha Tanzania ardhi ni Mali ya UMMA uko Kenya ardhi ni Mali ya Kenyatta na ukoo wake 😁😁😁Tuna nchi yetu na yenye ardhi ya rutuba ,tunaweza tukalima na kuilisha dunia nzima. Misitu ya kutosha yaani kwa kifupi hatuhitaji undugu ama kujikomba kwaa majirani
Are you serious?Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.