Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

We lini unarudi mkuu!!?

Hii free movement inamaanish Nini hasa kwa Rwanda na lengo la siasa zao!!?
Mm sina uraia wa kule ila kama mwandishi wa habari mbobezi wa habari za kijasusi,,naelewa lengo la hii free movement.
NB: RWANDA TOKA WABELGIJI WAACHIE MADARAKA HAKUNA SIASA BALI MAGENGE YA KIKABILA NDIO YANATAWALA KWA ZAMU ZA KUPINDUANA KIVITA
 
bila pesa utafika Rwanda na kutia nyeto tu

nikiona mtindi nahaha kweli
 
Kuna pisi Tanzania ni kali Rwanda inarudi tuition, huwa sifahamu zinaishi wapi, na sio Dar tu, hata mikoani, kuna pisi unaziona usiku tu, sijui mchana zinafanya kazi gani.

Kama ni mtu wa kutoka na washkaji kwenye zile Hotels kubwa zenye bar ndani hasa weekends utakubaliana na mimi nachosema, kuna wanawake hot sana. Mara nyingi sehemu hizi wanakaa wale watu wastaarabu, sizungumzii kwenye vurugu kule mnaambiwa panda juu ya meza.
 
Hii ndio Tanganyika na Watanganyika wake.
KAZI ni kipimo Cha utu
 
Achana na hao wawili apo mbele yule wa nyuma na yeye ni mnyarwanda kumbukeni
 
Ngoja nimtafute rafiki yangu wa utotoni Sultan Makenga anipe habari vizuri.
 
Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.
AMANI yetu ni very special kuliko kote huko mkuu
 
Tuna nchi yetu na yenye ardhi ya rutuba ,tunaweza tukalima na kuilisha dunia nzima. Misitu ya kutosha yaani kwa kifupi hatuhitaji undugu ama kujikomba kwaa majirani
Muongeze na hiki kidonge Cha Tanzania ardhi ni Mali ya UMMA uko Kenya ardhi ni Mali ya Kenyatta na ukoo wake 😁😁😁
 
Kwani Tanzania kuna jambo gani very special kuliko Kenya na Rwanda? Mnapenda kujitanganya ndio maana akili za waTanzania zimekuwa finyu.
Nchi ambayo wananchi wake wanapenda kujifungia ndani bila lolote la maana wanachokifanya.
Are you serious?
 
Back
Top Bottom