They are stupid najua hata wakati wa uongozi wa yule mama ndio alianzisha hii chokochoko, aisee pale panalindwa kuliko wanavyodhani na hatutaachia hata hatua moja mipaka ilishakuwa settled zamani so wasitutafute ubaya sababu wanajua vema uwezo tulionao.
Africa iligawanywa na wazungu ikawekwa mipaka kila nchi ikapigania uhuru wake na kulinda mipaka yake. Haya yanayokuja kuibuka baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru ni uhuni tu na hakika hakuna ardhi wataipata kama ni ziwa Nyasa tulishakubaliana miaka kibao ligawanywe katikati na hiyo imekuwa hivyo miaka yote sasa haya wanayoleta kuna kitu wanakitafuta na watakipata watanzania sio wapole kiasi hicho mbona tunawaacha tunwanakaa kwetu hatuwapi shida hata kuwasumbua kuhusu permits zao? Si tunaishi nao tu ? Hakika kwa hili diplomasia ikishindwa naamini kila mtanzania atakuwa tayari kuvaa konbati na kuingia front uzuri watanzania halisi tunajijua when it comes to national interests.