New Engine
Member
- Jan 18, 2015
- 43
- 20
Umaskini wa Tanzania upo katika maamuzi yetu. Kesho ndo utanielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mmekubaliana na mimi kwamba hata yakibaki masaa mawili bado Kikwete atafanya uteuzi wa mawaziri, hapo bado kuna nafasi atakayoijaza ya Kombani na Kigoda hata kama zitakuwa zimebaki Dakika tano
Magufuri kawekwa kama boya tuu.angeheshimiwa kama raisi ajaye kimsingi angeachwa kuja kufanya teuzi mwenyewe,lakini kwa vile JK kasoma upepo kuwa magu hatashinda na pia kapata fununu kuwa Raisi Lowasa hatawaondoa watumishi wa umma kwenye nyadhifa zao akaona afanye kuwateua haraka kwa masilahi yake.
Nyinyi hamuelewi. Uteuzi wowote unaweza futwa au kubadilishwa na rais ajaye jinsi atakavyoona. Kikwete hawezi acha nafasi tupu bila watu wakati waliokuwepo wamestaafu. Katiba itamshtaki. Kuweni wavumilivu. Chadema asilia tunasema PIGA KURA KWA MAGUFULI! ACHANA NA MATAPELI WENGINE
Yaani huwa nalaumu sana walompgia kura huyu jamaa,hii ni zaidi ya kero, cjui hata ni wa kuweka kundi gani
Hakuna Raıs mzurı km Kikwete ukimwacha Nyerere.
JK ni janga la dunia
ebu sasa tuambieni wana ccm; tuseme kwa bahati mbaya magaufuli akabahatika kuupata urais wa jmt, je walioteuliwa jana na jk
atarecall uteuzi huo.hii sasa ni too much, nadhani jk anajaribu kucheza na psychology/bongo za wapiga kura. Wapiga kura ebu jitokezeni
tuwaonyeshe ccm ya kwamba rais uchaguliwa na wananchi na sio kuteuliwa na viongozi wa ccm.kesho pigeni kura za hasira
tujinasue na minyororo hii ya kujiona wanyonge kwenye nchi yetu.
Ninawasiwasi na uchaguzi huu..tutaweza kumaliza vibaya kwani kuna kila dalili za wagombea kutofika salama.../ uchaguzi huu ni
mkali na upepo unavuma kulekea upande wa lowassa/ukawa. Je itakuwaje mh. Lowassa akishinda, na je atakubali wateule wa jana waendelee na nafasi zao.
Kesho sio mbali tutajua mbivu na mbichi...
busara ipi iliyokiukwa hapo?,,,,tatizo la bavicha bana ni ushabiki uliopitiliza,,,sasa hapa jk amekiuka busara ipi hasa?hebu tufafanulie....
tatizo lingine la bavicha ni wivu wa kike,,,,,
hivi wewe,kama jk aliweza kuliondoa jina la lowassa pamoja na kundi kubwa na ushawishi aliokuwa nao ndani ya CCM,atashindwa kumtawala huyo "makomeo" asiyejua hata maana ya siasa??
Huyu ni rais au Jirahisi?
Huyu jamaa anazidi kumwaribia tu Magufuli......