The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Kinawauma nini
Hii nchi si ya baba yako??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinawauma nini
Harafu bado watu wanaimba mbele kwa mbele , ccm itawachapa fimbo tu mpaka mkome
Tatizo huyu JK hamjui Makomeo. Kwa taarifa hao wote waliochaguliwa leo kesha wachongea na ndio watakuwa wa kwanza kutoka. Wakamuulize Mrema wa Tanroads. Makomeo akiingia tu Magogoni anapandisha vioo, na JK ataisoma namba, yangu macho.
siku nyingine muwe mnaangalia na makabila yakuyachague,mtavimba mpaka mpasuke si mlichague wenyewe 2005 kwa kishindo??
Maswi tena!
Mliomchagua Kikwete mmetuponza sana watanzania.
Nakiri kumtopenda huyu raisi kwa kiwango cha juu sana.