Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

Huu n upuuz na kuona watanzania n wajnga aache kutupuuza jaman hii nch mbona hv du
 
kwa kweli siyo sawa siyo kwa wakati huu cz kama unamoagia watu Rais ajae kufny kazi na watu ambao mybe combination zao haziendani
 
Magufuli alijaribu kujifanya na Tanzania ya magufuli akiwakataa ccm kiaina.Mkuu anamuonyesha kuwa "No matter who is the leader,The system rule the country"..Kashamchagulia makatibu,Wanaofuata sijui ni nani.
 
Swali kubwa kama alivyouliza mdau mmoja hapo juu. Je hayo mabadiliko ya kweli yatletwaje na watu waliofel katika sehemu waliokuwepo mwanzo? Tunaomba ukawa mkeeme sana hili leo jangwani na muwaambie watanzania kwa sauti kuu wasikie na wajue jinsi ccm wanvyowahadaa. Hiki ni kiashiria tosha kwamba mabadiliko wanayodai watayanya ni danganya toto.

iKIWA MTU WAO AYRI ANTENGENEZEQWA MFUMONA ALIYE MTGUKLIA N VIPI TUAMNI MIFUMOYA UTENDAJI NUONGOZI ITABADILIKA?
 
Magufuli atapata sana shida kuongoza, maana kila atakapogusa atakutana na mkono wa jk. Hakuna mabadiliko hapo, labda aamue kuachana na CCM.
 
Hata afanye nini mabadiliko hayazuiliki,
 
Natabiri kesho au jumatatu atateua na kumtangaza Mkuu Mpya wa Wajeda.
 
Kweli nimeamini hakuna kitu kibaya km ulevi wa madaraka.
Hao ni kwa ajili ya kulinda maslahi tu.

Kwa ulevi tu majuzi kateua wabunge na wanaenda kupokea mabilioni bila kufanya kazi yoyote
Kwa ulevi tu majuzi kateua wakuu wa wilaya na mikoa
Kwa ulevi uleule sasa anafanya madudu haya yasiyo na tija kwa taifa
 
Du, jamani!! Kweli huyu ni Rais tutakayemkumbuka. Hivi hata aibu haoni? Jamani, jamani, jamani!!!
 
Nilisema Magufuli kama atapata urais kikwete ataendelea kumteulia watendaji hiyo ndio CCM bwana
 
Ebu Sasa Tuambieni Wana CCM; Tuseme Kwa Bahati Mbaya Magaufuli Akabahatika Kuupata Urais wa JMT, Je Walioteuliwa Jana na JK

Atarecall uteuzi Huo.Hii Sasa Ni Too Much, Nadhani JK Anajaribu Kucheza na Psychology/Bongo za Wapiga Kura. Wapiga Kura Ebu Jitokezeni

Tuwaonyeshe CCM ya Kwamba Rais Uchaguliwa na Wananchi na Sio Kuteuliwa na Viongozi wa CCM.Kesho Pigeni Kura za hasira

Tujinasue Na Minyororo Hii ya Kujiona Wanyonge kwenye Nchi yetu.


Ninawasiwasi Na Uchaguzi Huu..Tutaweza Kumaliza Vibaya Kwani Kuna Kila Dalili za Wagombea Kutofika salama.../ Uchaguzi Huu Ni

Mkali na Upepo Unavuma Kulekea Upande wa Lowassa/Ukawa. Je Itakuwaje Mh. Lowassa Akishinda, na je atakubali wateule wa jana Waendelee na Nafasi zao.

Kesho sio Mbali Tutajua Mbivu na mbichi...

Ndo kitu cha ajabu, make jana Magufuli aliomba mpaka msamaha ili ashutumu kwamba, serikali ilikua pia na viongozi wasiofaa, na wengi ni wataule wa rais.

Sasa sijui akishinda itakuaje.
 
wataendelea kuwepo,,,unafikiri rais mpya anaanza kuondoa wafanyakazi kazini,,,itachukua kama miaka 2,kabla rais mpya hajaweka watu anaowataka yeye,,sio jambo la kuapishwa leo na kuanza kuondoa makatibu tawala,,etc

Kwa hiyo tunaoamini kuwa Magufuli anatumika tu kama chambo cha kuuerejesha na kuuimarisha madarakani mtandao uliosalia wa gwiji JK katika mikakati yake ya ki-Machiavelli TUKO SAHIHI?
 
Manyerere Jk at a sijui anawaza nini unashindwa hata kuelewa jaani Jk miezi 2 ya mwisho ameteya nyomi kuliko mabaraza yake yotee yalio wahi kutokea
 
Back
Top Bottom