Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

Miaka yote 10 nimekuwa sina uhakika kwa asilimia 100 kwa maana sisi ni binadamu, kwa hili nagundua kuna tatizo kubwa sana!
Imenikumbusha jana pale Jangwani wakati Magufuli aliposema kuna mafisadi mchana wanasema "kidumu chama" lakini usiku ni mafisadi kupindukia. Pale pale Mwenyekiti akanyanyuka na kwenda jukwaani na kumkumbatia.
 
JK ni wazi kabisa hataki uchaguzi ufanyike....uteuzi wa nini saa hizi!Anaweka watu wake ili JPM akishinda wamchafulie utendaji wake .Anaogopa kwa kasi ya Magufuli atasahaulika baada ya uchaguzi mkuu na Jpm kupata ushindi...alijua anaweka jiwe ili watanzania waendelee kumkumbuka!...kumbe Jpm ameshamfunika kabla ya uchaguzi...kwa mtaji huu wa Jk kura yangu nabaki nayo!
 
Tatizo huyu JK hamjui Makomeo. Kwa taarifa hao wote waliochaguliwa leo kesha wachongea na ndio watakuwa wa kwanza kutoka. Wakamuulize Mrema wa Tanroads. Makomeo akiingia tu Magogoni anapandisha vioo, na JK ataisoma namba, yangu macho.
 
Yaani Eliakimu Maswi aliyekua katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini na akatimuliwa kwa kashfa ya ESCROW na aliyekua Mkurugenzi wa TPA naye alifukuzwa na Sitta kwa kashfa ya Ufisadi wote hawa wameteuliwa Jana na Rais kua Makatibu tawala mikoani.

Kemeeni hili kwa nguvu leo umma wa Watanzania uje, tomechoka.
 
Madeni Kipande kutoka mkurugenzi wa bandari mpaka RAS?
 
Haya sasa. Huyu ndiye aliyekuwa rais wenu. Anaingilia kazi za wenzake. Siku moja kabla ya kuacha urais anateua viongozi
 
Yaani Eliakimu Maswi aliyekua katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini na akatimuliwa kwa kashfa ya ESCROW na aliyekua Mkurugenzi wa TPA naye alifukuzwa na Sitta kwa kashfa ya Ufisadi wote hawa wameteuliwa Jana na Rais kua Makatibu tawala mikoani.

Kemeeni hili kwa nguvu leo umma wa Watanzania uje, tomechoka.

Kama UKAWA Watatumia Kete Hii Majukwaani Leo, Hili Litawageuza Wengi Ambao Kesho Walipanga Kuipigia Kura CCM, Magfuli Anaubiri Ufisadi Huku Mzee Mrisho, Anawateua Hao Hao Kuwa Wasaidizi WAKE? Akiya Mungu CCM Ni Wasanii Wa Kupindukia.
 
Ebu Sasa Tuambieni Wana CCM; Tuseme Kwa Bahati Mbaya Magaufuli Akabahatika Kuupata Urais wa JMT, Je Walioteuliwa Jana na JK

Atarecall uteuzi Huo.Hii Sasa Ni Too Much, Nadhani JK Anajaribu Kucheza na Psychology/Bongo za Wapiga Kura. Wapiga Kura Ebu Jitokezeni

Tuwaonyeshe CCM ya Kwamba Rais Uchaguliwa na Wananchi na Sio Kuteuliwa na Viongozi wa CCM.Kesho Pigeni Kura za hasira

Tujinasue Na Minyororo Hii ya Kujiona Wanyonge kwenye Nchi yetu.


Ninawasiwasi Na Uchaguzi Huu..Tutaweza Kumaliza Vibaya Kwani Kuna Kila Dalili za Wagombea Kutofika salama.../ Uchaguzi Huu Ni

Mkali na Upepo Unavuma Kulekea Upande wa Lowassa/Ukawa. Je Itakuwaje Mh. Lowassa Akishinda, na je atakubali wateule wa jana Waendelee na Nafasi zao.

Kesho sio Mbali Tutajua Mbivu na mbichi...

Sikia mkuu huu ni mwaka wa historia.
1) Rais anafanya uteuzi mpaka siku yake ya mwisho. Hii haijapata kutokea.
2) ccm inaondoshwa madarakani na wananchi kupitia sanduku LA kura. Hii haijapata kutokea.
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Hivi hata magomeo mwenyewe hastuki.Uchaguzi kesho uteuzi leo!!!!.Naanza kumuelewa Mkapa nini maana ya Malofa na wapumbavu.Maovu yote hayo ambayo yamewekwa wazi halafu bado unapigia chama cha magamba!!
 
Jamani wana jf, najua mna hasira lakini wanakati mnachangia uzi huu hebu tuelekezane plan B ya kwenda sambamba na hukumu ya mahakama iliyotolewa jana ili hata huo mwanya mdogo uliokuwa created kuiba kura tuupunguze uwe mdogo zaidi!
 
wataendelea kuwepo,,,unafikiri rais mpya anaanza kuondoa wafanyakazi kazini,,,itachukua kama miaka 2,kabla rais mpya hajaweka watu anaowataka yeye,,sio jambo la kuapishwa leo na kuanza kuondoa makatibu tawala,,etc

Waziri mkuu ataendelea kuwa pinda au sio?na kama hatakuwepo maana yake nini kinafuatia kwa mawaziri wote kuhusu uteuzi?.common sense is not Common.
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Hivi hata magomeo mwenyewe hastuki.Uchaguzi kesho uteuzi leo!!!!.Naanza kumuelewa Mkapa nini maana ya Malofa na wapumbavu.Maovu yote hayo ambayo yamewekwa wazi halafu bado unapigia chama cha magamba!!
Shikamoo Milindi!

 
Ila Jk anamasihala na matusi yote Juliana shonZa na mtela mwampamba ajaukwaa hata u DC
 
Back
Top Bottom