lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,496
- 1,057
Atapunguza safari za nje maswali kama ni haya.
Thubutuuuu labda ashuke Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapunguza safari za nje maswali kama ni haya.
Mnautetea uislamu wakati most of you guys mtaishia motoni kwa matendo yenu!! Hapo ni sawa na kufuta herufi O na kuandika zeroNaam, kuabudu mwezi, jua, ng'ombe, sanamu la mzungu kote ni ujinga wa hali ya juu.
Waislaam tunachoabudu ni:
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***
Source: 112. SURAT AL-IKHLAS'
Mnautetea uislamu wakati most of you guys mtaishia motoni kwa matendo yenu!! Hapo ni sawa na kufuta herufi O na kuandika zero
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....
Vyama vingi hoyeee!haya yote yasingeweza kuongelewa ktk mfumo wa chama kimoja.
Naona sasa licha ya kuabudu sanamu la mzungu umeshajivika na joho la uungu, mwenye kujuwa nani ataenda motoni na nani ataenda peponi.
"Mbinguni" hatofika anaeabudu sanamu. Kumbuka hilo.
Nna mashaka makubwa sana na uelewa wako.
Kumbuka Ridhiwani hakuwa na hiyo haki enzi hizo zaidi alikuwa na diplomatic pass sababu ya baba yake ila alikuwa anasachiwa sababu mizigo yake haikuwa na sticker za presidential, au diplomat
Tanzania tumezoea mambo ya uswahili sana
Naona sasa licha ya kuabudu sanamu la mzungu umeshajivika na joho la uungu, mwenye kujuwa nani ataenda motoni na nani ataenda peponi.
"Mbinguni" hatofika anaeabudu sanamu. Kumbuka hilo.
Nna mashaka makubwa sana na uelewa wako.
Thubutuuuu labda ashuke Yesu.
Naona sasa licha ya kuabudu sanamu la mzungu umeshajivika na joho la uungu, mwenye kujuwa nani ataenda motoni na nani ataenda peponi.
"Mbinguni" hatofika anaeabudu sanamu. Kumbuka hilo.
Nna mashaka makubwa sana na uelewa wako.
Naona sasa licha ya kuabudu sanamu la mzungu umeshajivika na joho la uungu, mwenye kujuwa nani ataenda motoni na nani ataenda peponi.
"Mbinguni" hatofika anaeabudu sanamu. Kumbuka hilo.
Nna mashaka makubwa sana na uelewa wako.
Kwanini magaidi wengi waislamu ?
Kwanini magaidi wengi waislamu ?
We kila siku ni udini mpaka ma**koni. Kama unamjua mungu na dini yako hebu jibu haya maswsli. utanihalikishiaje kuwa mungu yupo? umreahi kumkwona au kulkutana naye?mbinguni ni ni wapi? mala ya mwisho kufika hiko ni lini? tafakari acha ujinga
Kuamini ni kutokuwa na uhakika. Faith is direct proportional to ignorance and indirect proportional to Knowledge. Waliokubuhu kwenye imani ni wagonjwa wa akili kama alivyosema Karl Marx, " Religion is the opium of the ignorant". In fact their relatives should consult psychiatrists on their behalf. Its just a matter of time they will be lunatics!
Jamani acheni kutupiana maneno ya kidini. Muhimu ni UPENDO. Tupendane na tusichukiane wajameni nyie. MAMBO MUHIMU NI MATENDO YETU YA MPENDEZE MUNGU WETU ALIYE MKUU NA MWENYE UPENDO na sio eti mimi ni mkristo???? or mie ni muislamu????? wakati hampendani. Mkristo asipompenda Muislamu huyo sio Mtu wa MUNGU. Na vile vile Muslamu asipompenda Mkristo huyo pia sio mtu wa MUNGU.