Kwa kukusaidia tu. Biashara haramu
duniani ndo the most paying. Riziwani
kama mtoto wa rais hawezi kupata
mtaji wa milion 200 kihalali kutokana
na urais wa baba yake. hilo amini. ILA
1. Anaweza kufanya biashara yoyote
kwa mgongo wa baba yake kama rais
akakwepa kodi hadi akawa milionea.
2. Anaweza kuopt biashara haramu
kama pembe za ndovu, sembe au hata
kuuza nchi na akawa tajir. KWA HIYO...
Ni suala la option tu kwa Rizione
kuamua. Kama alichagua njia ya Sembe ni moja kati ya option alizonazo
OTHERWISE...
Kama mtoto wa rais kwa maana halisi
ya rais mzalendo, riz1 hawezi kuwa na
mtaji huo. Na kama ni influence ya
baba BASI hiyo ni biashara haramu
sawa na sembe. KWA HIYO
Uwezekano wa riz1 kuuza sembe
hauondoki. sio lazima abebe yeye.
anaweza kubebesha punda na wakati wa malipo akanaswa.
Brother usiseme nonsense. Usiwe
mp.um.bavu jitahidi kuwa mjinga maana kuna siku inaweza kufika ukasema AHAAA. Hiyo ndo huitwa na wanasaikolojia AHAA EXPERIENCE
Hess
Asante
Ndio tulipofika hapa! wala sikulaumu
katika tetesi zako ukiambiwa ueleze kwa details hizo tetesi tu, HUWEZI
sema lini, wapi, mji gani, alikamatiwa ndege gani, au hoteli gani; walio mretain walijua ni mtoto wa rais na kwa sababu wachina wanampenda sana Kikwete na wakampa condition ya mikataba 12, simply kwa sababu wachina wana dhiki sana kiasi cha kupindisha sheria zao kwa sababu ya mtoto wa rais...kama umeishi china, utalikataa hili hajui hili,
mjinga
Pili kwa mapenzi makubwa ya wewe kukumbatia TETESI ambazo huwezi kuzisemea details zake unanipa mlazimisho wa kuwa NI AMINI hili, niamini tu!!! ukiishaweka IMANI unajitoa kwenye group la thinking and logical sequence unajiingiza directly kwenye gullible characters, hapa directly bila kupingwa unakuwa
mp.um.bavu
Tatu wakati unanilazimisha mimi ni AMINI unacho AMINI, umesahau kuwa na mimi nina haki ya kuamini ninacho AMINI, kwa hiyo wewe uko upande ule na mimi niko upande huu, akili zetu na mitazamo yetu iko sawa, kwa hiyo ushauri wa kuwa nijipunguze kuwa m.pum.bavu na kujiongeza kuwa mj.ing.a utakuwa ushaufanyia kazi mapema before mimi
Nne neno non.sense halikulengwa kwa mtu, bali dhana ya hili swala na tukiwa kama ni taifa la watu wenye akili timamu tusiishi kwa TETESI .... wewe lilikuuma, kwa sababu inaonyesha una uwepesi wa kuamini lolote
TETESI ya kuwa mimi ni baba yako simply kwa sababu niko close na mama yako na kwa sababu, ni mimi handsome, nina hela, msomi, niko karibu naye, na tuko ofisi moja , na kuna siku watu waliniona ninamshusha karibu na nyumbani kwenu, sidhani kama ni nyepesi kuingia sana akilini; lakini kwa wewe kwa mazingira hayo ni rahisi kuamini. Au Uwezo wako na utashi wako wa kuamini unafanya kazi positively kwa mtoto wa rais na unafanya kazi negatively kwa maisha yako binafsi!!
unbelievable
Tano,
kumbe bado sana
kwenye post yako sijaona ukiweka SABABU zingine au possibly uzushi, yule ni mwanasiasa, alikuwa anaelekea kwenye uchaguzi, it could be a political strategy za watu fulani, business competition, family conflict matters, etc etc etc etc; at least ungeweka possibilities.....ila duh!! kama umemuona vile
Jifunze kusoma post kama jiwe halijatupwa kwako, liko general usijifanye kidume uonekane una akili sana
I still believe the matter ni TETESI na anything is possible, ukweli au UONGO; ila kwa paragraph yangu ya kwanza ya kuhusianisha tukio hilo na mikataba 12, ndilo linalothibitisha vizuri kuwa issue hii ni ya utoto ambalo mkulu kasema ni
nonsense!
Ni wajibu wa waliosambaza TETESI japo walau kuweka details za events kadhaa ku narrate hili swala , hata kwa STORY tu ya kutunga ambayo ni convicing, sisi wengine sio washabiki sana, tunajaribu kujipambanua kwa kutumia akili zetu vizuri , kufikiri vizuri na kuamua bila kuwa biased! plz upande wa TETESI LIFUTENI HILI NENO LA MKUU-eti ni UPUUZI kwa kuweka walau some details hata kama hazitakuwa proved. TETESI ilianzia wapi?? mimi na wewe tulikuwa china?? kama hao punda walibebeshwa na wameamua kusema, jamani kusema tu lini, wapi, how happened inahitaji au ina kazi kiasi gani?? kama issue ni kweli mtoa siri hii yumo humohumo....then he or she is able to give us all information..LAKINI HAMNA,
then tukokotane kama mipunda eti kukubali TETESI, kikwete namchukia sana, ila kwa hili ney, no, mma, hapana, nope
otherwise mkuu kasema ni
nonsense
HILI NENO
NONSENSE ni zuri SANA, anajiamini nini jk?? mlioleta taarifa lets PROVE KIKWETE WRONG.....
otherwise nakubaliana naye kuwa the whole saga ni NONSENSE
yaani
Nonsense