Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Hess
Asante

Ndio tulipofika hapa! wala sikulaumu

katika tetesi zako ukiambiwa ueleze kwa details hizo tetesi tu, HUWEZI

sema lini, wapi, mji gani, alikamatiwa ndege gani, au hoteli gani; walio mretain walijua ni mtoto wa rais na kwa sababu wachina wanampenda sana Kikwete na wakampa condition ya mikataba 12, simply kwa sababu wachina wana dhiki sana kiasi cha kupindisha sheria zao kwa sababu ya mtoto wa rais...kama umeishi china, utalikataa hili hajui hili, mjinga


Pili kwa mapenzi makubwa ya wewe kukumbatia TETESI ambazo huwezi kuzisemea details zake unanipa mlazimisho wa kuwa NI AMINI hili, niamini tu!!! ukiishaweka IMANI unajitoa kwenye group la thinking and logical sequence unajiingiza directly kwenye gullible characters, hapa directly bila kupingwa unakuwa mp.um.bavu

Tatu wakati unanilazimisha mimi ni AMINI unacho AMINI, umesahau kuwa na mimi nina haki ya kuamini ninacho AMINI, kwa hiyo wewe uko upande ule na mimi niko upande huu, akili zetu na mitazamo yetu iko sawa, kwa hiyo ushauri wa kuwa nijipunguze kuwa m.pum.bavu na kujiongeza kuwa mj.ing.a utakuwa ushaufanyia kazi mapema before mimi

Nne neno non.sense halikulengwa kwa mtu, bali dhana ya hili swala na tukiwa kama ni taifa la watu wenye akili timamu tusiishi kwa TETESI .... wewe lilikuuma, kwa sababu inaonyesha una uwepesi wa kuamini lolote

TETESI ya kuwa mimi ni baba yako simply kwa sababu niko close na mama yako na kwa sababu, ni mimi handsome, nina hela, msomi, niko karibu naye, na tuko ofisi moja , na kuna siku watu waliniona ninamshusha karibu na nyumbani kwenu, sidhani kama ni nyepesi kuingia sana akilini; lakini kwa wewe kwa mazingira hayo ni rahisi kuamini. Au Uwezo wako na utashi wako wa kuamini unafanya kazi positively kwa mtoto wa rais na unafanya kazi negatively kwa maisha yako binafsi!! unbelievable

Tano, kumbe bado sana

kwenye post yako sijaona ukiweka SABABU zingine au possibly uzushi, yule ni mwanasiasa, alikuwa anaelekea kwenye uchaguzi, it could be a political strategy za watu fulani, business competition, family conflict matters, etc etc etc etc; at least ungeweka possibilities.....ila duh!! kama umemuona vile


Jifunze kusoma post kama jiwe halijatupwa kwako, liko general usijifanye kidume uonekane una akili sana


I still believe the matter ni TETESI na anything is possible, ukweli au UONGO; ila kwa paragraph yangu ya kwanza ya kuhusianisha tukio hilo na mikataba 12, ndilo linalothibitisha vizuri kuwa issue hii ni ya utoto ambalo mkulu kasema ni

nonsense!

Ni wajibu wa waliosambaza TETESI japo walau kuweka details za events kadhaa ku narrate hili swala , hata kwa STORY tu ya kutunga ambayo ni convicing, sisi wengine sio washabiki sana, tunajaribu kujipambanua kwa kutumia akili zetu vizuri , kufikiri vizuri na kuamua bila kuwa biased! plz upande wa TETESI LIFUTENI HILI NENO LA MKUU-eti ni UPUUZI kwa kuweka walau some details hata kama hazitakuwa proved. TETESI ilianzia wapi?? mimi na wewe tulikuwa china?? kama hao punda walibebeshwa na wameamua kusema, jamani kusema tu lini, wapi, how happened inahitaji au ina kazi kiasi gani?? kama issue ni kweli mtoa siri hii yumo humohumo....then he or she is able to give us all information..LAKINI HAMNA,

then tukokotane kama mipunda eti kukubali TETESI, kikwete namchukia sana, ila kwa hili ney, no, mma, hapana, nope


otherwise mkuu kasema ni

nonsense

HILI NENO NONSENSE ni zuri SANA, anajiamini nini jk?? mlioleta taarifa lets PROVE KIKWETE WRONG.....

otherwise nakubaliana naye kuwa the whole saga ni NONSENSE

yaani
Nonsense

Lakini mkuu nadhani ni mwaka jana kuna mtu alileta uzi hapa jamvini akielezea hii issue tangu ritzmoko anakamatwa,jinsi ubalozi wetu nchini china ulivyoshughulikia hii kitu hadi prezdaa alivyo ondoka saa na idadi ya watu alioenda nao na jinsi alivyokutana na prezdaa wa china?unaikumbuka hiyo thread?
 
Uzi uliandikwa kisanii zaidi kuliko factual. Mwandishi kama muda wote wa stori alikuwa na JK hadi kudescribe JK alikunja uso alipopokea simu ya balozi wa tz uchina!
 
Hapana nawasaidia wanajamii kuangalia upande wa pili wa shilling aka reasoning power ....Iweje Mtoto wa Rais mwenye uwezo wa kuajiri pusher aka punda wabeba mzigi ajitishwe mzigo mwenyewe wakati akijua risks zitakazoweza mkabili? ... less convinced mkuu... jaribu kunishawishi zaidi... pengine hulka yangu ya kithomaso inashidaa!!!
pengine aliona punda wanabeba mzigo kidogo akaona bora ajitwike yeye kilo kadhaa. Pia ishu hii yaweza fanana na ya mzee mengi na mwanaye aliyebambikwa madawa airport
 
Hembu tuambie ni kitu gani serikali ya ccm iliwahi kukubali kuanzia epa, meremeta, meno ya tembo, unga, kusafirisha wanyama hai, na wizi wa ascrow, na meeengi tusiyoyajua ni kiongozi gani ndani ya ccm aliyesimama na kukiri kuhusika nyie subirini siku chama cha ccm kitakaopowekwa makumbusho ndio mtajua kama mkaa hauwezi kupakwa rangi.
Khaa!! wewe vipi?? hapa ni kwa maGT jaribu kuleta post zinazojadilika bana :cool2:
 
“Naipenda nchi yangu kiasi cha kwamba siwezi kufikiria hata kuiweka rehani. Haya ni maneno ya kipuuzi tu, yenye kutafuta kututoa kwenye ajenda zetu nzuri. Hatuna muda nayo, sisi tunaelekeza nguvu zetu kwenye mambo ya maana ya kuleta mabadikio katika ustawi wa Watanzania.”
My take:- Mbona deni la taifa linakuwa kubwa kila mwaka?????????
 
kila rais atakumbukwa na mambo yake,ipo siku tutaomba arudi tena,kwani uhuru tulionao kutoa maoni sasa tunauaribu,time will tell,wahenga usema shibe mwana malevya,njaa mwana malegeza.
 
Naam, ukiwa Polisi na mhalifu akikuona hawi "terrorized" (gaidi) akikuona, basi ujuwe u polisi wako una walakin.

Ukiwa ni muamrisha mema na mkataza maovu na afanyae maovu akikuona hawi terrorized basi ujuwe uamrishaji wako mema una walakin (kama wale wa Mapadri na Maaskofu tunaowasoma kila siku mitandaoni).

Jee, Mandela na ANC wote ni Waislam? wapo kwenye list ya magaidi duniani.

Jee, IRA wote ni Waislaam? wapo kwenye listi ya magaidi duniani.

La, sijakuelewa vizuri.
 
Nadhani kama ni Muislamu au Mkristo halisi hawezi kuwa gaidi. gaidi hana dini, hana Mungu. gaidi sio Muislamu, gaidi sio Mkristo.

Tatizo ni viongozi wa kiislamu wanawaunga mkono magaidi.
 
i am not , i always try to neutral and little bit objective.
hivyo mkuu usijali ila usipelekeshwe na hisia ukatukana wenzio sio busara
Apology Iron Lady. nimesoma mchango wako wa awali nadhani nilikosea kama binadam mwengine yeyote.
 
Huyo mtoto wa raisi bila shaka ni mtu wa dili haramu! Mbona kila kona ni yeye tuu! Watoto wa maraisi wengi ni wezi maana baba zao huwekeza kupitia wao!
 
Apology Iron Lady. nimesoma mchango wako wa awali nadhani nilikosea kama binadam mwengine yeyote.

apology accepted. do not worry we are all making mistakes sometimes somewhere. i understand mkuu tupo hapa kurekebishana hata mimi hukosea mara nyingi.
siku njema mkuu
 
kila rais atakumbukwa na mambo yake,ipo siku tutaomba arudi tena,kwani uhuru tulionao kutoa maoni sasa tunauaribu,time will tell,wahenga usema shibe mwana malevya,njaa mwana malegeza.
Rais akinyima uhuru wa kuongea bila shaka risasi na mabomu yataongea.
 
apology accepted. do not worry we are all making mistakes sometimes somewhere. i understand mkuu tupo hapa kurekebishana hata mimi hukosea mara nyingi.
siku njema mkuu
Thanks for accepting my apology. siku njema nawe pia.
 
Back
Top Bottom