Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Lakini mkuu nadhani ni mwaka jana kuna mtu alileta uzi hapa jamvini akielezea hii issue tangu ritzmoko anakamatwa,jinsi ubalozi wetu nchini china ulivyoshughulikia hii kitu hadi prezdaa alivyo ondoka saa na idadi ya watu alioenda nao na jinsi alivyokutana na prezdaa wa china?unaikumbuka hiyo thread?
 
Uzi uliandikwa kisanii zaidi kuliko factual. Mwandishi kama muda wote wa stori alikuwa na JK hadi kudescribe JK alikunja uso alipopokea simu ya balozi wa tz uchina!
 
pengine aliona punda wanabeba mzigo kidogo akaona bora ajitwike yeye kilo kadhaa. Pia ishu hii yaweza fanana na ya mzee mengi na mwanaye aliyebambikwa madawa airport
 
Khaa!! wewe vipi?? hapa ni kwa maGT jaribu kuleta post zinazojadilika bana :cool2:
 
“Naipenda nchi yangu kiasi cha kwamba siwezi kufikiria hata kuiweka rehani. Haya ni maneno ya kipuuzi tu, yenye kutafuta kututoa kwenye ajenda zetu nzuri. Hatuna muda nayo, sisi tunaelekeza nguvu zetu kwenye mambo ya maana ya kuleta mabadikio katika ustawi wa Watanzania.”
My take:- Mbona deni la taifa linakuwa kubwa kila mwaka?????????
 
kila rais atakumbukwa na mambo yake,ipo siku tutaomba arudi tena,kwani uhuru tulionao kutoa maoni sasa tunauaribu,time will tell,wahenga usema shibe mwana malevya,njaa mwana malegeza.
 
La, sijakuelewa vizuri.
 
Nadhani kama ni Muislamu au Mkristo halisi hawezi kuwa gaidi. gaidi hana dini, hana Mungu. gaidi sio Muislamu, gaidi sio Mkristo.

Tatizo ni viongozi wa kiislamu wanawaunga mkono magaidi.
 
i am not , i always try to neutral and little bit objective.
hivyo mkuu usijali ila usipelekeshwe na hisia ukatukana wenzio sio busara
Apology Iron Lady. nimesoma mchango wako wa awali nadhani nilikosea kama binadam mwengine yeyote.
 
Huyo mtoto wa raisi bila shaka ni mtu wa dili haramu! Mbona kila kona ni yeye tuu! Watoto wa maraisi wengi ni wezi maana baba zao huwekeza kupitia wao!
 
Apology Iron Lady. nimesoma mchango wako wa awali nadhani nilikosea kama binadam mwengine yeyote.

apology accepted. do not worry we are all making mistakes sometimes somewhere. i understand mkuu tupo hapa kurekebishana hata mimi hukosea mara nyingi.
siku njema mkuu
 
Swali, kwa nini kesi haijatajwa mpaka leo?
 
kila rais atakumbukwa na mambo yake,ipo siku tutaomba arudi tena,kwani uhuru tulionao kutoa maoni sasa tunauaribu,time will tell,wahenga usema shibe mwana malevya,njaa mwana malegeza.
Rais akinyima uhuru wa kuongea bila shaka risasi na mabomu yataongea.
 
apology accepted. do not worry we are all making mistakes sometimes somewhere. i understand mkuu tupo hapa kurekebishana hata mimi hukosea mara nyingi.
siku njema mkuu
Thanks for accepting my apology. siku njema nawe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…