Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Jamaa ni muongo aliyepitiliza na wala hapepesi macho anapokuwa anadanganya umma wa Watanzania.

Maisha gani kayaborosha huyu JK?
Kiukweli kadri siku zinavyozidi kwenda mbele na uwongo wa Jk na ccm yake ndo maisha yetu watanzania yanazidi kuwa mabaya sana!!
Huku gesi yetu ameiweka rehani kwa wachina ili kumuokoa mwanae!!!
 

Hawana sela hao ni majuha, hata kwenye kampeni za ubunge chalinze waliongea huo ujinga hatuku wasikiliza
 
alieuliza swali alijitoa muhanga kuuliza ila huwezi ukamuuliza swali kama hilo mtu akubali?
 
hakuna mtu yoyote ambaye angeweza kukubali hata kama ni ukweli unaojulikana. amefanya alichotakiwa kufanya KUKATAA.

Usanii ni kipaji, karama kutoka kwa Maulana. Chezea wewe!
 
Nakumbuka Zamani nikiwa mdogo kulizuka uzushi buguruni kuna mtu kageuka chatu! Wabongo noma sana!
Simkubali jk kwa mambo mengi ila sipendi uzushi.

If you didn't ear it with your own ears Or see it with your eyes, Then do not invent it with your small mind And share it with your big Mo.ther.fu.cke.n Mouth.
 

hahahahahahaha hata me ndio ningekua kikwete nisingekubari
 
Hilo la kuipenda nchi nimelifurahia, watu wanaoipenda hii nchi wamepungua sana...
 

Ilianzia hapa......

http://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/07/rais-jakaya-kikwete-aiweka-nchi-rehani-kumuokoa-mwanae-asinyongwe-china/


 
Hata huyo alieliza pia ni mjinga. Utasikiaje habari katika vijiwe vya kahawa na kwenda kumuuliza rais?
 
Daaaaaaah Hilo tamko limetoka kurugenzi ya mawasiliano Ikulu?

Nilipoliona nikadhani mipasho ya kina Khadija kopa
 
hata wewe nahisi unatatizo la kupoteza kumbukumbu kama sivyo basi unatumia viroba kabla ya kufikiria.
 
Kwa mtizamo wangu kama ningekuwa kwenye nafasi yake ningepiga kimyaaaaa....
 
hajakanusha wala kukubali hoja....kihistoria huwa ndio tabia yake kutoa majibu ya njia panda kwenye ukweli
 
Mwongo akiongopa shika jembe ukalime, akiukana uongo shika kikapu ukavune, yaliyomo yamo kama hayamo yaja kaatayari ngwe moja iishe tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…