Una ushahidi ulete. la huna wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Wewe unaamini sanamu la mzungu kuwa ndio mungu wako na unaliabudu, kama si upunguani huo ni nini?
Hivi kwa akili zetu kweli kabisa mtoto wa raisi aende kubeba unga kupeleka China?
Amekosa nini hicho hadi akabebe unga?
Tena ni upuuzi uliovuka mipakaRais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.
JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.
=======================================
Habari inaweza kuwa ya kweli au ya uongo vyote vinawezekana.
Unamkumbuka aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na pia aliyeisha wahi kuwa balozi wa TZ nchi za nje "Hassan Diria alikamatwa ujerumani akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya?
Hawa jamaa huwa hawasachiwi kisheria, hivyo hutumia nafasi hiyo. Diria siku hiyo walimsachi ingawa ilikuwa ni kinyume cha sheria kumsachi, na wakamkuta na madawa ya kulevya.
Lakini mkuu usisahau nafasi hiyo hiyo ya udiplomasia ya kutokaguliwa aweza kuitumia ndivyo sivyo.. yaani kwamba kwake yeye ikawa ni rahisi kupita kidplomasia zaidi na mzigo kuliko punda! 'Just thinking from the other angle'
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
that is another thing to discuss my boss.Na wewe uliamini its true?
nasikia leo kulikuwa na mkutano wa mashoga pale serena hotel. vipi nyie mashoga mlihudhuria? maana nasikia mnagawa mitaani hivyo viboga vyenu kama kikombe cha babu loliondo.
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
Njia ya muongo ni fupi mno!
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu sana! Sasa sijui 'rahisi' wetu huwa anapoteza kumbukumbu au hupiga viroba kabla ya kuanza kuongea?
Huyu mtu anayeitwa rais anaposema ni upuuzi, hilo ndo jibu? Nilishasema uwezo wake wa kujua mema na mabaya ni mdogo sanaaa! Hajui aseme nini na wapi.
Nawalaumu mulioko huko US kwa nini muliendelea kumsikiliza akitumia lugha ya kizembe kama hiyo? Huwa hana hoja kila wakati asipocheka, basi anaishia kusema matusi. Yawe ya nguoni au haya ya kutukana eti ni upuuzi. Nahisi yeye anadhani kutukana ndo ushujaa, ndo kuonekna ni mtu strong!
Bahati mbaya ameharibu mchakato wa katiba, lakini tuombe adumu ili tupate katiba akiwa nje ya ikulu. Tutaelewa kama nani ni mpuuzi.
Na kuabudu mwezi!!!? Kuna tofauti gani na kuabudu jua na nyota au Ng'ombe!!!?? Teheee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tena ni upuuzi uliovuka mipaka
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.
JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.
=======================================