Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

chama chetu cha mapinduzi, chajenga nchi........................!
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================

sasa mbona ameongelea upuuzi, huo muda ameutoa wapi?
 
Na tangu lini 'Upuuzi' ukajibiwa kwa staili ya kukanushwa kwa nguvu nyingi na hasira hivi na Rais mwenyewe pamoja na taasisi yake ya Uraisi tena kwa mabandiko mazito namna ya hii?
Na kama kweli ni upuuzi kwa nini ichukue miaka zaidi ya miwili na kitu baada ya tukio hilo linalosadikika kuwa ni la kipuuzi kuripotiwa? Rais na taasisi ilikuwa wapi siku zote hizo wakati huo 'upuuzi' ulipokuwa unasambaa masikioni mwa wapuuzi?

Naona maswali bado ni mengi kuliko majibu...
 
Only in Tanzania
 
Huu Uzi hautakaa utoke hapa jukwaani, hadi jk atakapowa si mpangaji tena wa magogoni
 
Hivi muuliza swali alitegemea JK angekubali suala hilo!nadhani US watakuwa wanalifanyia kazi suala hilo kwa kuwa waliumia sana kwa kuukosa uwekezaji katika gesi!
 
Hivi muuliza swali alitegemea JK angekubali suala hilo!nadhani US watakuwa wanalifanyia kazi suala hilo kwa kuwa waliumia sana kwa kuukosa uwekezaji katika gesi!
Hapana, alitaka kufikisha ujumbe tu kwa mhusika maana ilibaki kama tetesi mda mrefu
 
mimi ningekuwa hakimu atakayeesikiliza kesi hiyo ningemuuliza tu mshtakiwa eti ulitegemea ridhiwani angepata shillingi ngapi(angefaidika kiasi gani) kwa kupeleka unga kiasi gani? halafu ndo tungejua kama akili zetu ziko MAKATONI au la?
 
Hivi waweza kuuliza Bahressa anauza chapati ili apate shilingi ngapi? Kwako wewe mwenye pesa hafanyi biashara ndogondogo?
 
ujinga ni hali ya kutokufahamu jambo
kuuliza ni kiashirio kwamba hujui au unajua unataka kuwadhihaki watu
kwa hivyo kuuliza ni ujinga au kama siyo ujinga ni kuwadhihaki watu
 
Hivi waweza kuuliza Bahressa anauza chapati ili apate shilingi ngapi? Kwako wewe mwenye pesa hafanyi biashara ndogondogo?

umeshamuona au kusikia bakhresa anauza chapatti front mfano wako ni wa kitoto nyie mnasema kakamatwa china maanake alikuwa anahusika na madawa ya kulevya huko china baba yake kamtoa achen kuwa wavivu wa kufikiri au mnafikiri kilo ya madawa ya kulevya inauzwa $1trillion mpaka mtoto wa rais kirahsi tu na yeye aamue kuingia kwenye biashara hiyo
 
Naona Al-Jazeera wanataka kulifufua hili jambo katika meno ya tembo
 
Naona Al-Jazeera wanataka kulifufua hili jambo katika meno ya tembo

Mkuu, hii ishu ya meno ya tembo naamini marekani wanahusika kwa kiasi kikubwa sana. Na wakaona atleast hii issue watumie aljazeera kama platform badala ya kutumia BBC ama CNN kutoa makala hizo. Na ukiangalia ni weekend ilopita tuu CNN wametoka toa makala ya kuitangaza TZ katika sekta ya utalii.

Kwa kitendo cha TZ kuonesha nia ya kushirikiana na Russia, US na China at the same time, hakiwavutii marekani hasa katika kipindi hiki cha cold war reloaded. So far, kama hiyo issue ni kweli JK aliifanya ama kutokea katika utawala wa JK, basi amecheza karata vibaya kwa kumuongezea mrusi katika portion ya TZ inayotakiwa kugawiwa kwa wawekezaji.
 
Alivokuwa anajibu wajanja washajua ukweli ni upi na uongo ni upi. Maana hiyo jazba si bure.
 
Back
Top Bottom