Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Hivi masikini hatuonekani watu wakajiuliza umasikini wetu tumeupata wapi
 
Na safafi hii mpaka siri za nguoni tutazijua...Piganeni tu kuku tutafaidika....Na safari hii msitudanganye eti mtatuletea matractor haitalipa!
 
Kwahiyo Kumbe ni uongo eeeeh?

Halafu Kuna mtu ametaka ushahidi swali langu mnapomjadili Lowasa juu ya utajiri wake mmeshawahi Kuweka USHAHIDI?

Ishu ya lowas inajulikana.....tume iliundwa ikachunguza na ikapereka report kusomwa bungeni. Na yy hajawai kukanusha popote zaid ya kusema atawapereka watu mahakaman
 
Kama unakumbukumbu kamati teule ya bunge haikumkuta na hatia ilimwambia ajipime achukue hatua, akaamua kujiuzuru kulinda Heshima ya serikali .
 
Mm kumbukumbu zangu zinaniambia zinaniambia kamati ilisema aliingilia procument process ya tanesco ili kuipa tender kampun ya richadwamondul ambayo walisema ipo marekan lkn kamat ilipoenda marekan wakakuta hamna kampun hyo inayofua umeme
 
So Richmond Ipo au Haipo Sasa na hii Symbion power sio zao LA kubadilibadili jina kutoka Richmond ?
 
Mkuu maswali yako hata siyaelewi....ila ujue tu kuwa jamaa kwa siku wanalipwa mil mia na kitu whelther wamewasha au hawajawasha mitambo. Acha kutetea uozo
 
Kwahiyo Kumbe ni uongo eeeeh?

Halafu Kuna mtu ametaka ushahidi swali langu mnapomjadili Lowasa juu ya utajiri wake mmeshawahi Kuweka USHAHIDI?

Utajiri wa lowassa ni vipofu tu ndio hawauoni ila wanasikia.kamnunulia mwanae Freddy nyumba London UK
 
IMG-20170121-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom