Rais Kikwete amethibitisha kuwa ni kigeugeu na ndumilakuwili

Kwani Jk sio Mtanzania?

Activister,

Ni Mtanzania lakini siyo Mzalendo.

Unaweza kuwa Mtz na usiwe Mzalendo. Tafuta maana ya neno Mzalendo ndipo utagundua kwamba Rais wako Kiwete hana hata chembe moja ya Uzalendo baali amejaa ubinafsi,unafiki,undumila kuwili,ufisadi na udikteta!

Kama kweli Rais Kiwete ni Mzalendo basi angelitanguliza maslahi ya nchi yake Tanzania kama Taifa badala ya kutanguliza maslahi ya Chama chake cha CCM!!! Kwamba Watanzania zaidi ya 60% wanataka Serikali TATU na wachache wanataka Serikali 2.

Kama unataka kujua Mzalendo wa kweli sikiliza na soma vitabu na hotuba za Baba wa Taifa. Kumbuka Nyerere aliunda Tume ya Rais ya kutafuta maoni ya Watanzania kuhusu Tanzania iwe na MFUMO GANI KATI YA CHAMA KIMOJA AU VYAMA VINGI. Taarifa ya Tume ya Rais ilikuja na Majibu ya asilimia 20 walitaka vyama vingi, na asilimia 20 walitaka chama kimoja.

Kwa hikima na busara Mwalimu aliamua kuwasikiliza wachache kwa vile aliona mbele kuwa tulikokuwa tunaelekea siasa za chama kimoja zilikuwa zimepitwa na wakti!! Hicho ni kipawa cha ajabu sana ambacho Mungu huwapa watu wachache hapa duniani!! Nasikitika kusema Kiwete hayuko kwenye kundi hili la wachache waliojaliwa vipawa vya Uongozi na Mwenye enzi Mungu!!
 

Blueband,

Uko sahihi mkuu. Ndiyo maana mimi namwita Rais Kiwete. Maana kwa uhalisia wa neno Kiwete ni mtu yule ambaye hajiwezi na anahitaji msaada!
 
mimi nadhani km ni ukigeugeu,unafiki,uongo,kejeli na uzandiki upo kwa dkt wa theology slaa(mpora wake za watu aliyefukuzwa upadri kwa kashfa ya ngono pamoja na mambo mengine),mifano ipi wazi na nitaeleza km ifuatavyo:-
awali,mpora wake za watu slaa alitangaza ktk uchaguzi uliopita kuwa serikali ya ccm imeleta contena la kura bandia kupitia mpaka wa mbeya na baada ya kuhojiwa na polisi akakiri kuwa ali"ropoka" na sikweli ila akaliomba jeshi la polisi liendelee na uchunguzi na baadae jeshi na yeye mwenyewe kujiridhisha ni uzandiki na uongo aliousema.
pili,alisema huyo dkt hewa kuwa hamtambui raisi kikwete kwani ktk uchaguzi huo uliopita amedai kura zake nyng zimechakachuliwa hivyi hatambui ushindi wa raisi kikwete lakini baadae siku zinavyoenda utamsikia akisema "tunamuomba raisi asipitishe muswaada wa katiba mpya kwani una utata"hapo anatambua kuwa kuna raisi na anamamlaka,lakini pia waliitwa zaidi ya mara mbili na wakanywa chai na juisi pale ikulu an kutoka amefurai kwlil kweli.
tatu,ukigeu geu mwingine ni wa slaa(simuiti dkt) baada ya kumsaliti mkewe wa ndoa ROSE KAMILI NA KUMPORA MPIGA KURA WAKE MKE(MSHUMBUSHI) na bila aibu eti viwanja vya jangwani akamtangaza hadharani huyu ndio mchumba wangu bila aibu zee la tkriban miaka 70 unakatangaza kabinti kadogo(sawa na mwanae tu wa mwisho km angezaa mapema).
nne,kigeugeu kingine cha wilbroad ni kukacha upadri na kukimbilia kuoa(kuendekeza tamaa za kingono),hivi utawezaje kukana "nadhiri" uliyoweka kwa Mungu wako kuwa utamtumikia milele na badae kumkacha Mungu???huu ni ukigeu geu mkubwa kwa Mungu,wakatoliki na watanzania kwa ujulma.
tano,ukigeu geu mwingine wa slaa ni kukisaliti chama chake kwa kuwa na card mbili za vyama tofauti ie ccm na cdm kwa pamoja,na hata alipoukuzwa alikiri kuwa anayo na anahaki ya kuwa nayo kwani kurudisha kadi si lazima.(kwa tafsiri yng ni bado anamapenzi na ccm chama chake cha awali kabla hajahama baada ya kutoswa kupitishwa kny kura ya maoni ya kuwania ubunge)huu si usaliti na uzandiki??
sita,ukigeu geu mwngne ni wa kugeuzia kibao wanaompa changamoto ktk chama km vile sarf,zitto,mkosamali,shibuda nk.hapo ni ukigeu geu kwani huwezi kushiriki kutunga na kuboresha katiba ya chama na baadae kuipinga katiba kwa kutumia ubabe,hasira na mamlaka kisa umechalengiwa na wanachama wenzio!!!


kwa ukige geu huu wa wilbroad slaa mara mia jk kikwete.
 
raisi kikwete na watanzana wengi tunahoji km warioba na tume yk alihoji watu laki tatu na walotaka serikali 3 n elfu arobaini na tsaba tu,watu wengi ni wapi???na nusu kati yao hawakugusia muungano!!!tunajua wariona toka enzi za G55 yeye na wenzake akina njelu kasaka walikuwa hawataki muungano na wlikuwa wanadai serikali ya tanganyika,nyerere akawatimulia mbali sas anarudisha hoja ile ile kwa mlango wa nyuma kwa kutumia uenyekiti wake kufavor maslahi yake na ya maswahiba wake!!!
 

ambwilikiti,

Wewe kweli ni chizi au zezeta. Povu jingi na maneno lukuki lakini PUMBA TUPU! Napenda kukupa ushauri wa bure:


  1. Jikite kujadili hoja iliyopo mbele yako.
  2. Zungumza ISSUES usizungumze habari ya MTU.

Hiki ndicho kipimo cha mtu mwenye busara au GT! Kuzungumza habari na mambo binafsi ya Dr.Slaa kuhusu Upadri au NDOA yake inaonesha how shallow is your mind!! Badilika acha kukaririshwa kama KASUKU! Shame on you!
 
km mm ni chizi basi wewe ndo kaka mkuu wangu ktk shule hiyo ya machizi!!!hoja ni ukigeugeu wa jk,na mm nikakutolea mifano ya ukigeugeu wa bwana wako slaa!!!tatizo nn!!!???
huwezi kutenganisha maisha binafsi ya kiongozi na siasa zake,huyu ni public figure watu wanamtizama kwa jicho la tatu,zaidi ya maisha yk ya kawaida!!!utasemaje asijadiliwe!!!??hukuona clinton alivyokumbwa na kashfa ya monica lewsky chama chake kilitaka kumtimua???unajua kwa nn???yale si maisha yk binafsi???wangapi wamejiuzulu ama kuwajibishwa na vyama vyao baada ya kugundulika kuwa ktk maisha yao binafsi yameichafua na kuikiuka jamii???acha porojo zako za mtaani na usinipangie cha kujadili pumbafu!!!!!
 

Yaani shukuru niko kwa mfungo..vinginevyo ww ni bonge la l.o.f.a
 
Acha uwongo kila mtanzania alipigwa na bumbuwazi hata wanaomuunga mkoni, familia yake na chama chake je, Ulijuaje kla mtz alipigwa na bumbuwazi uliwapitia wote kukusanya maoni yao ....But umefanikiwa kufikisha ujumbe wa chama chaki na aliyekutuma.....ingejywa busara ungeleta hoja ya kueleza mashaka yako watu wachangie baadala yake umetoa hoja ya kumuhukumu Jk
 

ambwilikiti;

Chizi au zezeta hawezi kuelemika hata ukimpeleka shule!
Kuna mengi sana yanayomhusu Rais wako Kiwete tunayajua kuhusu maisha yake binafsi na familia yake lakini TUMENYAMAZA maana hayana tija kwenye mijadala ya KISIASA.

Wazungu wanasema.''SHALLOW MIND DISCUSS PEOPLE BUT INTELLIGENT MIND DISCUSS ISSUES''. Jipime na uone uko kundi lipi kati ya Shallow minded people na Intelligent peope.

----- waheed!
 
Ha ha haaaaa eti "Kinena"!! Mkuu hapo umenichekesha...
Umeona eh? sijui kama mleta mada alikosea kwa makusudi au bahati mbaya. Anyway hilo nalo ni neno lenye maana fulani. Labda mleta mada atueleze zaidi maana ya neno hilo! kwa maana tunayoifahamu sisi wengine neno hili linachekesha, ndiyo lakini si neno zuri sana kwa maana ya kimuktadha.
 
Kutoka maktaba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…