Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Najua wewe unasubiri Padre Slaa awe rais maisha yako yatakuwa mazuri.Uzuri kachaguliwa na Mwenyekiti wako wa ccm......
Najua wewe unasubiri Padre Slaa awe rais maisha yako yatakuwa mazuri.Uzuri kachaguliwa na Mwenyekiti wako wa ccm......
Huyu ni Mkirsto safi ana upako.Sasa huyu si alikuwa pamoja na werema ktk ushauri wao,, mbovu juu IPTL...... Du,,
Upande wa pili watu hawana skuli atateua nini?
Najua wewe unasubiri Padre Slaa awe rais maisha yako yatakuwa mazuri.
Rais mdini sana CAG alyestaafu alikuwa mkristo, wa sasa muislam. AG alyejiuzulu Werema mkristo wa sasa mkristo. Cjui udini utaisha lini tz.
Nyuma yake kulikuwa kuna mtu anaitwa Prof Ibrahim Juma !
Kasoma Madrasa na hiyo elimu yenu !
Huyu ni Mkirsto safi ana upako.
Jamani hamkuwaelewa watu walio lalamikia uteuzi wa CAG. Kulikuwa na kaimu CAG ambaye kwa uzoefu wake tulitegemea ndo apandishwe kuwa CAG. Lakini cha ajabu akaenda kuchukua academician asiye na uzoefu na kazi. Badala ya kuomba vitendea kazi na rasilimali watu zaidi anaomba kujengewa msikiti ofisini kwake.
Kwa huyu mwanasheria mkuu haina shida amefuata mtiririko unaotakiwa. Kwamba mwanasheria kajiuzuru naibu wake achukuwa nafasi. Ebo!!!!
shida nini hapo? do you really need to comment this?
Kwan umesahau rais wako ulyemchagua ni dini gan mpaka umsifie ?
Ngoja tumu asses.
Dada Elli wewe si ndiyo umeni quote post yangu halafu unataka nisikujibu.Sijaandika ili unijibu. Wewe sio saizi yangu! Naongea na mwenye mbwa please
Unamaana gani mkuu?
Maoni yako sijui mimi yananihusuje? Mimi sina hakika kama nilishawahi kuonyesha udini huo unayoyasema. Ila ninachokiona humu pia kuna element za udini na pia kuna element kubwa za inferiority na superiority complexes - kuna watu wanawaza tu kuonewa na wengine kupendelewa.kwenye uteuzi huu wa Kikwete ni sifa tu na wala hakuna udini kwenye hili. huu ni ushahidi tosha juu ya nia ovu za watanzania wenzetu against watanzania wengine. tena cha kushangaza mkipewa hizo nafasi mnaiba kuanzia viongozi, waumini mpaka na mabenki yenu utafikiri hela hizo zimetolewa kwenye parokia.
invisible--- nimeku-quote hapa kwa makusudi, nadhani kuna kitu utakuwa umejifunza kutoka kwenye uzi huu (na za huko nyuma), ukilinganisha na nyuzi nyingine zinazoletwa humu ambazo zinawahusu viongozi waislam, na mfano wa hivi karibuni ni uteuzi wa Prof. Asad kuwa CAG mpya na jinsi alivyoshambuliwa juu ya dini yake badala ya utendaji wake.
ndo maana waislam wachache wamejaribu kuhoji wakirsto kutoa sifa tu kila anapoteuliwa mkirsto kama nilivyowa-quote humu. Naamini kabisa walikuwa wanatoa dukuduku lao. kutokana na haya naamini umejifunza kitu kama nilivyosema na bila shaka unaweza chukua hatua sitahiki kadiri utakavyoweza unless na wewe ni miongoni mwao.
haipendezi hata kidogo kuona wengine wakikejeliwa kisa tu dini zao na sio utendaji wao na wakati huohuo wengine wakihukumiwa kwa utendaji wao tu.
Jakaya amefanya la vema maana angejikuta siku anashauriwa anashauriwa ijengwe misikiti kwenye kila wizara.
Tunahitaji hatua mbili tu, kuweza kuswali. Unaweza kusogeza kochi au kiti ukaswali hapo ulipo na sala moja inachukua dakika 5 mpaka 7 !
Hatuna mungu wa jumapili mpaka jumapili.
Tumewaachia nyie mjenge Makanisa makuubwa kwa pesa za MoU na ndani yake muweke masanamu
Dada Elli wewe si ndiyo umeni quote post yangu halafu unataka nisikujibu.
Kwanza toka lini mimi uwa najibishana na nyie vinuka mkojo.
Wewe si nyumba ndogo ya Mbowe nani hajui humu JF.
Maoni yako sijui mimi yananihusuje? Mimi sina hakika kama nilishawahi kuonyesha udini huo unayoyasema. Ila ninachokiona humu pia kuna element za udini na pia kuna element kubwa za inferiority na superiority complexes - kuna watu wanawaza tu kuonewa na wengine kupendelewa.
Hakuna shida kateuliwa Mkirsto shinda ingekuwepo kama angeteuliwa Muislam.shida nini hapo? do you really need to comment this?