unajua kama Lisu kapata boya mwingine wa kumpiga kanzu,tobo,doba na michenga ya maudhi
Profesor George masaju ni mchapakazi na msomi mzuri sana.... Usihofu Mkuu, Huyv Ni Msabato. Labda Angekua Muanglikana Au Mromani
we we we, dengua inakusumbua au?????... Usihofu Mkuu, Huyv Ni Msabato. Labda Angekua Muanglikana Au Mromani
maccm wote sawa, awe mgalatia ama muslim. Hata huyo aliyeteuliwa ni walewale..Watasema Kikwete mdini!haya wagalatia anzeni kutoa kasoro na kashfa!uzuri ni kuwa tumeshawazoea
Mkuu unakimbizwa na panya road nini?
Unajua sisi Watanzania alieturoga sijui ni nani, angechaguliwa Ahmed Shaaban Ally mada inehama tungesema Kikwete anajaza Waislamu sasa amechaguliwa George umekimbilia kwenye ukabila, wewe huwezibebeka hata kwa mbeleko ya chuma