Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

kwa kuwa huyu jamaa alikuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali tunategegmea amejifunza mapungufu yaliyoonekana kipindi chote cha boss wake ndugu werema hivyo basi hatutegemei kuona madudu kama yaliyofanywa na werema
 
Walewale tu seniority imefuatwa hapa huyu si alikua naibu wa mwizi werema? Hakuna jipya hapa ataendelea kusikiliza maelekezo ya aliyekua bosi wake.
 
Mauteuzi ya kikwete ni majanga matupu...namchukia mno huyu baba.bora amalize muda wake asepe hatumtaki
 
Rais mdini sana CAG alyestaafu alikuwa mkristo, wa sasa muislam. AG alyejiuzulu Werema mkristo wa sasa mkristo. Cjui udini utaisha lini tz.
Wewe wenzako kwa sasa wako sinza makaburini wewe unafanya ujinga wako humu wahi kwenye dili zenu.
 
kwa kuwa huyu jamaa alikuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali tunategegmea amejifunza mapungufu yaliyoonekana kipindi chote cha boss wake ndugu werema hivyo basi hatutegemei kuona madudu kama yaliyofanywa na werema
Kwani werema alifanya nini.
 
Jamani hamkuwaelewa watu walio lalamikia uteuzi wa CAG. Kulikuwa na kaimu CAG ambaye kwa uzoefu wake tulitegemea ndo apandishwe kuwa CAG. Lakini cha ajabu akaenda kuchukua academician asiye na uzoefu na kazi. Badala ya kuomba vitendea kazi na rasilimali watu zaidi anaomba kujengewa msikiti ofisini kwake.
Kwa huyu mwanasheria mkuu haina shida amefuata mtiririko unaotakiwa. Kwamba mwanasheria kajiuzuru naibu wake achukuwa nafasi. Ebo!!!!
 
Yule pro ibrahim juma vp, c mlikuja na uzi humu mkasema ndie alieteuliwa ag mpya? Mkamtukana sana jk kua ni mdini leo mmeufyata, pumbav!
 
Ninyi mkitegemea uteuzi wa assistant mnamwita mzoefu Ni kina nani? mnajua madaraka aliyo nayo Rais kikatiba na vigezo vinavyo zingatiwa katika kumchagua kiongozi yeyote wa serikali? wewe unaezungumzia uacademician kama wewe Ni wa vyuo angalia usijitie aibu kwa maneno yasiofaa
 
Jamaa anasali swala tano ni balaa. Hilo George ni jina tu. Haya kajinyonge.

Yule pro ibrahim juma vp, c mlikuja na uzi humu mkasema ndie alieteuliwa ag mpya? Mkamtukana sana jk kua ni mdini leo mmeufyata, pumbav!
 
kwenye uteuzi huu wa Kikwete ni sifa tu na wala hakuna udini kwenye hili. huu ni ushahidi tosha juu ya nia ovu za watanzania wenzetu against watanzania wengine. tena cha kushangaza mkipewa hizo nafasi mnaiba kuanzia viongozi, waumini mpaka na mabenki yenu utafikiri hela hizo zimetolewa kwenye parokia.

invisible--- nimeku-quote hapa kwa makusudi, nadhani kuna kitu utakuwa umejifunza kutoka kwenye uzi huu (na za huko nyuma), ukilinganisha na nyuzi nyingine zinazoletwa humu ambazo zinawahusu viongozi waislam, na mfano wa hivi karibuni ni uteuzi wa Prof. Asad kuwa CAG mpya na jinsi alivyoshambuliwa juu ya dini yake badala ya utendaji wake.
ndo maana waislam wachache wamejaribu kuhoji wakirsto kutoa sifa tu kila anapoteuliwa mkirsto kama nilivyowa-quote humu. Naamini kabisa walikuwa wanatoa dukuduku lao. kutokana na haya naamini umejifunza kitu kama nilivyosema na bila shaka unaweza chukua hatua sitahiki kadiri utakavyoweza unless na wewe ni miongoni mwao.
haipendezi hata kidogo kuona wengine wakikejeliwa kisa tu dini zao na sio utendaji wao na wakati huohuo wengine wakihukumiwa kwa utendaji wao tu.

Asijitose ateue asiemgalatia aone

Watasema Kikwete mdini!haya wagalatia anzeni kutoa kasoro na kashfa!uzuri ni kuwa tumeshawazoea

Hongera zake,Mungu amsaidie awe mwaminifu na afanye kazi yake kwa bidii.

Hongera Mheshimiwa Masaju.

Umekabidhiwa kiti cha moto, Mungu akupe busara ulitumikie taifa lako

Hizi nafasi ni nadra sana kupewa sisi WA kaskazini.

Mkuu kwan kateuliwa na nani na msimamo wa huyo mteuzi juu ya escrow ukoje?Je unadhani anaweza kuteua mtu mwenye msimamo tofauti na yeye?

naamini H.E. Prof.Dr. JK alikuwa anaufanyia kazi ushauri huo kwa umahiri mkubwa, bila kusahau '.....za mbayuwayu .....changanya na za kwako'

Sisikii KELELE ZA UDINI KWENYE UTEUZI HUO SASA

MAKAFIRI CHUKI SANA AISEE

Hongera sana AG Mpya.

Tusubili majina ya tanbic acc. Asipokuwemo ndio nitamwanini na kumkubali.

Hongera sana AG mpya Mhe. Masaju, umeingia ktk nafasi hiyo katika kipindi chenye changamoto lukuki! Usihofu kuwa makini sana na ueledi wa Kazi uuongeze, usijisahau pia siasa ipo!!! Kikubwa kuwa muwazi katika mambo yote yenye public interest

Moyo wako umeridhika kwa ulichokiandika.

Rais Kikwete mdini sana serikalini kajaza Wakirsto watupu.

Hongera Masaju

Huu sio UDINI ?
Wagalatia vile vitimoto mnavyokula lazima vitakuwa vinalegeza nati za ubongo...

Hongera Masaju.
Huyu ni SDA

Angetuwekea mswahilina! Hawa wenzetu wamezidi kwa ufisadi.

ulichoandika tu unaonyesha wewe ni pimbi kasoro mkia

ulichoandika tu unaonyesha wewe ni pimbi kasoro mkia akili yako inafikiria udini tu si utendaji au usomi au uzalendo

we ni kinyeo kweli tena cha shoga

kazi nzur sana aliyofanya rais

mkuu tusifike huko,btw Masaju ni islam,jina ni Mwiguluism

Rais jakaya kikwete amemtangaza mh.George Micheche Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Tafadhali mwenye wasifu wa huyu mtu atuwekee hapa

... Usihofu Mkuu, Huyv Ni Msabato. Labda Angekua Muanglikana Au Mromani

take time ili ujue kama huyo AG ni mwislam

Udini huu wakristo kila siku

Profesor George masaju ni mchapakazi na msomi mzuri sana.

maccm wote sawa, awe mgalatia ama muslim. Hata huyo aliyeteuliwa ni walewale..

utasikia mfumo kristo huu

Jk mdini sana anateua wakristo tu

AG mpya ndo huyu katika picha

Rais mdini sana CAG alyestaafu alikuwa mkristo, wa sasa muislam. AG alyejiuzulu Werema mkristo wa sasa mkristo. Cjui udini utaisha lini tz.

Mbona mihemuko mingi? Huyu jamaa alibadili dini na kuwa Muislaam. Tena ni mtu wa sala tano......
 
kwenye uteuzi huu wa Kikwete ni sifa tu na wala hakuna udini kwenye hili. huu ni ushahidi tosha juu ya nia ovu za watanzania wenzetu against watanzania wengine. tena cha kushangaza mkipewa hizo nafasi mnaiba kuanzia viongozi, waumini mpaka na mabenki yenu utafikiri hela hizo zimetolewa kwenye parokia.

invisible--- nimeku-quote hapa kwa makusudi, nadhani kuna kitu utakuwa umejifunza kutoka kwenye uzi huu (na za huko nyuma), ukilinganisha na nyuzi nyingine zinazoletwa humu ambazo zinawahusu viongozi waislam, na mfano wa hivi karibuni ni uteuzi wa Prof. Asad kuwa CAG mpya na jinsi alivyoshambuliwa juu ya dini yake badala ya utendaji wake.
ndo maana waislam wachache wamejaribu kuhoji wakirsto kutoa sifa tu kila anapoteuliwa mkirsto kama nilivyowa-quote humu. Naamini kabisa walikuwa wanatoa dukuduku lao. kutokana na haya naamini umejifunza kitu kama nilivyosema na bila shaka unaweza chukua hatua sitahiki kadiri utakavyoweza unless na wewe ni miongoni mwao.
haipendezi hata kidogo kuona wengine wakikejeliwa kisa tu dini zao na sio utendaji wao na wakati huohuo wengine wakihukumiwa kwa utendaji wao tu.

?????????????????????
 
Jk hufanya kazi zake kwa misingi thabiti wala hadanganywi wala kunganya mliozoea kudanganya na kupiga porojo poleni.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

attachment.php

KWENYE SAKATA LA RICHMOND JINA LA MASANJU KUTOKA OF YA MWANASHERIA MKUU KAMA LILITAJWA TAJWA,HEBU WENYE TAARIFA YA RICHMOND waisome kisha wathibitishe
 
Back
Top Bottom