Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
JK acha udini bana.
ni wewe au?
JK acha udini bana.
Si unaona kila siku anateuwa Wakirsto watupu siyo udini huo.ni wewe au?
Hakuna shida kateuliwa Mkirsto shinda ingekuwepo kama angeteuliwa Muislam.
Wewe unasali wapi kwa Gwajima au kwa Kakobe?
Si unaona kila siku anateuwa Wakirsto watupu siyo udini huo.
Rais mdini sana CAG alyestaafu alikuwa mkristo, wa sasa muislam. AG alyejiuzulu Werema mkristo wa sasa mkristo. Cjui udini utaisha lini tz.
Nyinyi si mmesomea ufisadi na kula vitimoto ...?mbona hamjasoma? hebu acheni elimu akhera karibuni elimu dunia mpewe hizo nafasi au mnataka mpewe gumbaru ambao hawajasoma elimu inayohitajika hata Yesu alisema ziheshimuni mamlaka za duniani hivyohivyo nawaasa someni elimu dunia achaneni na madrasa na hizo nafasi mtazipata kwa sababu mtakuwa na sifa siku hizo....
Nyie si mmesomea ufisadi si umeona orodha waliochukuwa fedha Escrow unadhani waimba kwaya.Jakaya anajuwa fika watu wa imani yake uwezo mdogo. Asa kama yeye mwenyewe anajijuwa ana uwezo mdogo atafanya vipi kosa la kuteua wasaidizi wenye uwezo mdogo?
Si unaona kila siku anateuwa Wakirsto watupu siyo udini huo.
ungekuwa ni wewe uteuliwa sidhani ungekuja kuandika huu uchafu humu acha wivu
Hizi nafasi ni nadra sana kupewa sisi WA kaskazini.