Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Nyie si mmesomea ufisadi si umeona orodha waliochukuwa fedha Escrow unadhani waimba kwaya.

jakaya mrisho khalfani kikwete ni muimba kwaya?

saada 'kilaza' nkuya ni muimba kwaya?

maana hawa ndo wanaujuwa mchezo wote kuanzia refa, kamisaa hadi washika kibyendera.
 
Maoni yako sijui mimi yananihusuje? Mimi sina hakika kama nilishawahi kuonyesha udini huo unayoyasema. Ila ninachokiona humu pia kuna element za udini na pia kuna element kubwa za inferiority na superiority complexes - kuna watu wanawaza tu kuonewa na wengine kupendelewa.
utakuwa na matatizo wewe.
tunaeleza tunachokiona, hayo ya inferiority sijui superiority yametoka wapi?
mimi nimetoa na ushahidi juu ya teuzi mbalimbali anazofanya Kikwete. akiwa aliyeteuliwa ni muislam basi utaona makafiri jinsi wanavyorap. akiteuliwa kafiri mwenzao wanaishia kusifia kama walivyofanya kwenye uzi huu.
maoni yako ni mfano mzuri kuwa nyie makafiri akiteuliwa kafiri mwenzenu mnasifia tu na akiteuliwa muislam ni kutukana tu kama kawaida yenu.
 
Wakwako mwenye kujua ni yupi, mteuwe Mara moja ataapishwa hakuna tatizo.
 
Ni aibu watu wa kanda ya Ziwa hasa mkoa Mara kushiriki mambo ya ufisadi, wakati wao ni JWTZ tangu tumboni mwa mama zao !
 
Usabato wa mhe.Masaju hautaleta jipya nchini kama alivyo mlokore mch.Rwakatare kule bungeni!

HAKUNA JIPYA KWA AG MPYA !
 
jakaya mrisho khalfani kikwete ni muimba kwaya?

saada 'kilaza' nkuya ni muimba kwaya?

maana hawa ndo wanaujuwa mchezo wote kuanzia refa, kamisaa hadi washika kibyendera.
Naona unaleta drama unakwepa kutaja orodha ya wana kwaya waliochota pesa pale kwenye benki yenu Mkombozi.
 
Jakaya ndo alisema 'za IPTL' hao Mkombozi ni transfer medium tu. Muimba kwaya original ni Muislam swala 5 Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete
 
utakuwa na matatizo wewe.
tunaeleza tunachokiona, hayo ya inferiority sijui superiority yametoka wapi?
mimi nimetoa na ushahidi juu ya teuzi mbalimbali anazofanya Kikwete. akiwa aliyeteuliwa ni muislam basi utaona makafiri jinsi wanavyorap. akiteuliwa kafiri mwenzao wanaishia kusifia kama walivyofanya kwenye uzi huu.
maoni yako ni mfano mzuri kuwa nyie makafiri akiteuliwa kafiri mwenzenu mnasifia tu na akiteuliwa muislam ni kutukana tu kama kawaida yenu.
Umejuaje kuwa mimi ni kafir kama ulivyosema? Hii ndiyo inayofanya watu waone kuwa kuna waislamu wenye mwelekeo wa unyonge katika mawazo yao. Wewe unafikiri kila anayemsifia Mkristo si muislam na anayemsifia muislam si Mkristo! Unashangaza kweli kweli kwa kuanza kufikiria kwamba mtu yeyote hasiye muislam ni kafir. Kwa kauli zako wewe unaweza kuwa kafir kuliko hao wakirsto.
 
huenda likawa sio kosa lako kwa sababu uelewa wako ni mdogo. mimi nimetoa na mifano iliyowazi jinsi viongozi wanaoteuliwa wakiwa waislam wanavyojadiliwa kwa dini zao na wakaristo kwa either kwa utendaji wao or kupewa pongezi za kuteuliwa.
nisome vizuri, na utofautishe kati ya hicho ukiitacho inferio/superio...na uhalisia uliopo humu. kama hamuyajui vizuri hayo maneno ya kiingereza usiyatumie humu.
 
Rejea tena kusoma niliyoandika na kisha soma jibu lako. Tafakari kama umejibu niliyoandika na maoni yangu ya kujumuishwa katika lalamiko lako.
 
Hawa wa2 jamani wanapendekezwa majina mawili matatu afu rais anachagua moja hakurupuki
 
Back
Top Bottom