Mnzajila GairoTz
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 562
- 153
Walewale mambula wa sheria, Huyu! hakuna rangi atacha ona kwa akina lissu mwaka huu, Namjua ni kalume kenge wa sheria.
BAADA YA FREDRICK WEREMA KUJIUZULU, RAIS ATEUA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
huyo alieteuliwa ni MKRISTO
HUWEZI SIKIA FYOKO FYOKO ZA UDINI HAPO
Simuelewi Mkuu,ni zamu ya vijana sasa,hivi Riz si naye kasoma Bsc in Tundulisu?
Watasema Kikwete mdini!haya wagalatia anzeni kutoa kasoro na kashfa!uzuri ni kuwa tumeshawazoea
Watasema Kikwete mdini!haya wagalatia anzeni kutoa kasoro na kashfa!uzuri ni kuwa tumeshawazoea
Sisikii KELELE ZA UDINI KWENYE UTEUZI HUO SASA
MAKAFIRI CHUKI SANA AISEE
Huyo Masaju ni mwislamu mzuri sana, hayo majina ni ya kurudia madarasa sawa na Prof Muhongo.Angetuwekea mswahilina! Hawa wenzetu wamezidi kwa ufisadi.
unajua kama Lisu kapata boya mwingine wa kumpiga kanzu,tobo,doba na michenga ya maudhikazi nzur sana aliyofanya rais
..kama ni kweli basi hamna jipya....maana huyu ndie alikua kaimu mwanasheria mkuu wa serikali chini ya werema....na kwa maana hiyo anajua na kuhusika moja kwa moja kwa makosa ya werema..maana mara nyingi amekua anakaimu nafasi ya werema..huu uteuzi wa JK ni magumashi....ni muendelezo wa kuwalinda waalifu...so sad...Rais Jakaya kikwete amemteua George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali katika uteuzi uliotangazwa punde. Nawawekeeni taarifa nzima ya uteuzi soon
mkuu tusifike huko,btw Masaju ni islam,jina ni MwiguluismWatasema Kikwete mdini!haya wagalatia anzeni kutoa kasoro na kashfa!uzuri ni kuwa tumeshawazoea
take time ili ujue kama huyo AG ni mwislamHuu sio UDINI ?
Wagalatia vile vitimoto mnavyokula lazima vitakuwa vinalegeza nati za ubongo...
Huyu atapeleka bungeni sheria ya kuruhusu ushoga mara moja