Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali


RAIS KATEUA HEWA badala YA MTU.
 
Hakuna jipya, ni walewale tu. Huyo Ag ajiandae kupambana na hoja za kamanda lissu bungeni.
 
Hewa hewa, 2015 CCM watakuta hewa kwenye madiwani na wabunge
 
Si mlituambia pro. Ibrahim juma atampendelea je kikowapi!!! Acheni kumchafua presidor kwa udini wenu
 
Sasa huyu si alikuwa pamoja na werema ktk ushauri wao,, mbovu juu IPTL...... Du,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…