Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uteuzi nina mashaka nao...ngoja niingie chimbo nitarudi!!
Nakumbuka Assad alikuwa mwenyekiti wa board ya NBC limited. Je alifanikiwa kivipi au mafanikio yake ni yapi!? Any news kabla hatujasema lolote.
Mkuu hebu tuwekee CV ya Francis tupate ku-compare na tuprove ukisemacho
Pole mkuuAsad kaua NBC, asad kaiharibu nssf. Ni mdini sana ndiyo tatizo lake. Kazi anaweza ila udini ndiyo tatizo lake kuu. Yaani yeye ni mjahidina sana. Naamini kwa hii nafasi atajaza waislam mpaka wee. Ningekuwa jk nisingemteua huyu mdini.
Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-
Kaka CV haifanyi kazi. Kwani ma CEO wa kampuni za Apple, Google, Facebook et al., huwa na CV gani ya kutisha. Kwani yeye ndio anaenda kufanya ukaguzi? Mbona Muohongo kashindwa na masifa yake yote...
Tatizo la mheshimiwa huyu huwa akisikia neno Proffesor anachachawa sana na kuamini hawezi kufanya madudu ila hapa hamna kitu ni sanaa tupu na uteuzi huu unanipa mashaka sana icje ikawa mzee wa watu wamemstaafisha kwa nguvu ajili ya kufichua maovu yao ya kipuuz!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Novemba 5, 2014.
Assad, anachukua nafasi ya Bwana Ludovick Utouh, ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma.