Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Kwanini hajapewa kaimu yule aliyeohojiwa na PAC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asad kaua NBC, asad kaiharibu nssf. Ni mdini sana ndiyo tatizo lake. Kazi anaweza ila udini ndiyo tatizo lake kuu. Yaani yeye ni mjahidina sana. Naamini kwa hii nafasi atajaza waislam mpaka wee. Ningekuwa jk nisingemteua huyu mdini.
Francis aliyekuwa anakaimu kapigwa chino. Je ni kwa sababu ya taarifa ya escrow?
Asad kaua NBC, asad kaiharibu nssf. Ni mdini sana ndiyo tatizo lake. Kazi anaweza ila udini ndiyo tatizo lake kuu. Yaani yeye ni mjahidina sana. Naamini kwa hii nafasi atajaza waislam mpaka wee. Ningekuwa jk nisingemteua huyu mdini.
tulitegemea AG mpya ye anatuletea CAG mpya... hii nchi kweli ni zaidi ya tuijuavyo!!! wazuri hawadumu...
Rais kikwete leo amemteua prof,Mussa J Assada kuwa mthibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali(CAG),ATAAPISHWA KESHO.Yamkini ndio jitahada zake za kujibu mapendekezo ya bunge lilimalizika mwishoni mwa wiki lilipita
Chanzo;ikulu
Tatizo la mheshimiwa huyu huwa akisikia neno Proffesor anachachawa sana na kuamini hawezi kufanya madudu ila hapa hamna kitu ni sanaa tupu na uteuzi huu unanipa mashaka sana icje ikawa mzee wa watu wamemstaafisha kwa nguvu ajili ya kufichua maovu yao ya kipuuz!
Awamu ya rais wetu huyu imeonekana sana kubadilisha uongozi mara kwa mara hasa wanapoonekana kwenda kinyume na matakwa ya mwenye nyumba lakin watanzania nadhania mmeona utendaji wa mzee huyu LUDOVICK tangu alipoingia madarakani mpaka leo anapostaafishwa,wewe unayekuja na wewe ukiwa mgeni wa ci jing ping umeisha .
Ludovick anaondoka huku sakata la ESCROW AC Halijaeleweka yan kiukweli watanzania TUMELOGWA NA ALIYELOGA SISIS KASHAKUFA
Uttoh amewasaliti wamempiga chini.
By the way Prof Asaad ni 'm'baya' katika uhasibu.
Wadau waliosotea CPA(T) wanamtambua vizuri sana huyu profesa.
Profesa Assad ni msomi, mwenye weledi, ujuzi na uzoefu mkubwa wa uhasibu na udhibiti wa fedha ambaye ana Shahada ya Uzamivu wa Uhasibu (PHD in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Southampton, Uingereza mwaka 2001 na Shahada ya Uzamivu katika Udhibiti wa Fedha (MA in Financial Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City, Jamhuri ya Ireland mwaka 1991.
Profesa Assad pia ana Stashahada ya Kitaaluma ya Uhasibu (Professional Diploma in Accounting) kutoka Chuo Kikuu cha Dublin City mwaka 1990 na Shahada ya Biashara (Bachelor of Commerce) ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 1988.
Pamoja na uzoefu wa kitaaluma, Profesa Assad anao uzoefu mkubwa katika eneo la uhasibu na ukaguzi. Alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kwa miaka saba (2007 - 2014); ni Rais na Mjumbe wa Chama cha Wahasibu Afrika (Pan African Federation of Accountants) tangu mwaka 2012; na ni mjumbe wa Bodi kadhaa za Wakurugenzi nchini Tanzania.
Hii nchi inatakiwa Dar es Salaam nzima tuandamane... Kuonesha ni kiasi gani wananchi tuna hasira na wizi wao. Tunakua kama wajinga kila siku tunaskia wizi lakni hatujui hatma na muafaka wa hayo matukio. Tusiishie tu kuongea