Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Hivi kweli tumekosa majina kwenye huu mtaa wa Obama?
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania
 
Ni bora angempa aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo baada ya Mzee Utoh kustaafu kazi za ukaguzi hapa nchini.
Alafu nashangaa sana, hapa kwetu anaongekana kazeeka ndio maana kastaafu, ingali Umoja wa Mataifa wanamtegemea!
are we serious!
 
Utoh kagonga nyoka kichwani, lazima aondolewe. Ngoja tusubiri na Hosea kama atabaki!?!
Utou alishastaafu mama yangu.tatizo alimwachia fransis ambae inasemekana aliwahi kufeli mtihani wa nursery.
acting CAG kashindwa hata kubainisha pesa za escrow ni za umma ama za iptl.
 
wow! hongera zake!
Kufundisha na kutenda ni vitu viwili tofauti!!
Professor Assad anaonekana kumaliza shahada yake ya kwanza 1988. Miaka miwili baadaye 1990 akarudi shule kusoma na ameendelea na shule hadi 1991. baada ya hapo anaonekana kufundisha. Kutokana na mlolongo huo Professor Assad ni mnadhalia kuliko mtendaji!! kwa ivo watanzania wasitegemee utendaji ulotukuka badala ya nadhalia na majigambo!!
Tanzania inahitaji CAG mwenye weledi wa field anayejua wabongo wanapigaje deals ili kuisharauri serikali! vinginevyo ataishia kuwa kama akina Muhongo au maghembe!!
 
Huyo prof.Assad ni yule aliyekuwa Dr.Assad wa UDBS Accounting dept na NBAA au huyu ni mwingine? Kwa anayejua plzz.
 
Musa Juma Assad, kwa nimfahamuvyo mimi ni jembe na hayumbishwi na ni mwenye msimamo wa kitaaluma na wa kidini pia. Kama sikosei alikuwa NBAA kwahiyo atakuwa kafuata nyayo za Ludovick Utoh hawa wote ni waalimu wangu.
 
Hongera prof Asad hapa JK amechagua jembe.

Kumbuka kutunza akiba ya maneno mkuu, kumbuka kila raisi anapofanya uteuzi hua tunasifia mwisho wa siku tunaishia kujuta.
Wakati Prof Muhongo anateuliwa watu tulisema jembe, wakati JK amechaguliwa tulisema ni chaguo mungu hivi leo tutasema yale yale au?
 
Mwana Mpotevu

Tunaomba rekebisheni Cv yake vinginevyo yafuatayo yatavuma haraka:
1.Miaka ya 2000 Dkt Assad aliwahi kufanya mitihani ya NBAA ili kupata CPA(T) akafeli na aliamua kuandaa kitabu kupinga NBAA
2.Kwenye CV yake hakuna popote palipoandikwa kuwa Dtk Asaad ni CPA(T) holder na inaonyesha kuwa yeye hana practise yoyote ndani ya uhasibu na wala jina lake halipo
3.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Asaada alipewa CPA(T) kwa kumuheshimu tu . Kwa vyovyote vile tunaomba NBAA waonyesha Asaad ana status gani kwenye ngazi ya Uhasibu??Maana kuna yafuatayo
(i) Graduate accountant [CPA(T)]
(ii)ACPA(T)
(iii)FCPA(T)
Je katika ngazi hizo Dkt Asaadi yupo wapi???
Kama hakuna maana yake yeye hawezi kufanya na kusimamia kazi kama CAG.
Afadhali angepewa acting CAG
 
Last edited by a moderator:
Tunampongeza ndg Assad kwa kuteuliwa kushika nafasi kubwa kama hiyo.
Ni maumaini yetu kwamba hatakuwa corrupted na mfumo uliopo.
 
Back
Top Bottom