Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Kikubwa ni weledi wa timu iliyopo naot.Kuna watu smart sana,watamng'arisha akitaka,asipotaka pale ni pa gumu sana,ndilo jicho la taifa,rais anapaangalia kwa umakini mkubwa kwani ndiyo idara pekee hadi sasa kati ya idara zote za serikali,iliyoipatia sifa Tz,ndani na nje ya nchi.Tiss wamejazana pale kuhakikisha mambo yote yanaenda sawa,Taasisi,mashirika,na balozi mbalimbali za nje(wahisani) wanapaangalia pale,kwa hiyo, Kazi aliyopewa c mchezo km atakuwa hapo kwa maslahi ya watu ninafsi!
 
Jaman km n kweli hiyo itakuwa pouwa mbona maana watu wanatetea uovu na uozo huku wanafunz wakikosa mikopo na hospital dawa hakuna

ooohhh shit yaan kumbe n cag m nilidhan ni mwanasheria mkuu HV huh ndo uzalendo gan wanaoutaka mpaka wanawapeleka wadogo zetu jeshin ili wakawe kasuku heeee,jamaa kapiga kaz kubwa halafu anatolewa jaman h nchi

ha ha haaa!...mkuu ulivyokurupuka na baadae ulivyonywea kaa ndondo iliyolowekwa.
 
mbona hawakufukuzi akina Muhongo na wenzake
 
CAG MPYA: Rais Jakaya Kikwete, leo amemteua Prof Musa J. Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Ataapishwa kesho. Ikulu yathibitisha.
 
Utoh kagonga nyoka kichwani, lazima aondolewe. Ngoja tusubiri na Hosea kama atabaki!?!
 
Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-

tatizo maprofessor wetu wakishapata madaraka serikalini wanabadilika na kuwa mapro-pesa.
 
Back
Top Bottom