KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Hapana. namaanisha in your own mind, utakuwa unajiona legendi, kwahiyo hadithi zako zote zitahusu umachachari wako japo mwingine utautengeneza hapo hapoNami nikizeeeka ntakuwa napoteza busara? π€£π€£π€£π€£
Kikwete ni mfalme Juha mchango pekee naouona ni kutokuja kuwa na mtu kama yeye na mfano wake akina Makamba. Next time ni kuwa makini kutochagua viongozi bogus mafisadi.Kikwete bado ana mchango pande zote, mazuri na mabaya,kwangu namwona ni kiongozi bora tofauti na yule mfalme juha
Michakato haina tija. Watu tunataka utendaji maamuzi na utendaji. Habari za ipo kwenye mchakato na upembuzi yakinifu ni za miaka mingi sana.Ndugu yangu huo ndio ukweli, angalia Airport mpya, Makao makuu ya Dodoma, SGR, Bwawa la Nyerere na miradi mingi tu ni michakato ya muda mrefu huwezi mwezi tu ukasema tunaanza mradi mkubwa kama SGR kesho ni mambo yanapitia process ndefu kuandaa mradi. Hata Kikwete yeye alirithi mambo aliyoanza Mkapa. ILa JPM alikuwa na uthubutu na vilikuwa vipaumbele vyake. Kila Rais anakuja ndio ilani ipo labda ya miaka 5 na akafanya yale anayodhani muhumi kwake na mengine akaacha yaendelee akaja mwingine akaona hili muhimu kwake kuliko lile, ila ni Ilani ya chama tawala.
Mambo ya kusadikika hayaHivi unadhani mchakato wa kujenga SGR umechukua mwaka mmoja au miwili? Ni sahihi alivyosema kuwa mchakato ulianza tangu enzi ya Mkapa. Pengine ingewezekana labda ujenzi ungeanza mapema zaidi lakini nina hakika yale ma'feasibility studies' na ma'costing' siyo kitu cha kutengeneza mwaka mmoja au miwili, wachilia mbali kutengeneza hayo matenda husika.
Rapid Transit yenyewe ilichukuwa zaidi ya miaka kumi kukamilika itakuwa SGR?
Musichukulie kila kitu kuwa negative jamani mengine ni historia tu.
Hakuna raia wa kawaida anajali au kujihangaisha na mipango na michakato, raia wanachotaka kuona ni utekelezaji na matokeo tu. Wanataka kuona vitu halisi sip story, maneno na ahadi.
Hakuna raia wa kawaida anajali au kujihangaisha na mipango na michakato, raia wanachotaka kuona ni utekelezaji na matokeo tu. Wanataka kuona vitu halisi sip story, maneno na ahadi.
Mradi huwa unaanza pale unapoanza kutekelezwa kwa vitendo, hayo mambo mengine huwa ni mbwembwe tu.
Huyu atajichomeka chomeka mpaka Mungu atakapompenda zaidi. Mawahili wa Msoga huyo.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Unafikiri kujenga SGR sawa na kufungua kibanda cha chips?Michakato haina tija. Watu tunataka utendaji maamuzi na utendaji. Habari za ipo kwenye mchakato na upembuzi yakinifu ni za miaka mingi sana.
Kwani yeye JPM hakukuta kazi zilizoanzishwa na JK? Haya mambo yote yako kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa mwaka 2000. Na humo ndiyo CCM wanapoandika Ilani ya uchaguzi wanasoma na kuweka mambo watakayotekeleza. Projects zote ukiacha uwanja wa ndege wa Chato, daraja la Busisi na Bwawa la umeme la Nyerere vimo kwenye hiyo document. Alianza ku-implement Mkapa mwenyewe, akafuata JK na Magufuli naye akafanya ya kwake. Na sasa Samia anamailizia viporo na kufanya mengine.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Mzee anatupanga sio , au ni uzee pia unachangiaKila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Ni ishu ya kisiasa.Aliulizwa?
Wenye nchi hawatakubali kuongonzwa na mshamba wa madaraka km mzilikande jiwe kiongozi wa malaika ππππKikwete ni mfalme Juha mchango pekee naouona ni kutokuja kuwa na mtu kama yeye na mfano wake akina Makamba. Next time ni kuwa makini kutochagua viongozi bogus mafisadi.
Au atuambie project alizoanzisha Mwinyi kisha akamuachia mkapa, yeye katekeleza?Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Anagombea tena?Ni ishu ya kisiasa.
matokeo ya kupimwa tezi dume yanamsumbua oblangataKila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.