Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Kikwete bado ana mchango pande zote, mazuri na mabaya,kwangu namwona ni kiongozi bora tofauti na yule mfalme juha
Kikwete ni mfalme Juha mchango pekee naouona ni kutokuja kuwa na mtu kama yeye na mfano wake akina Makamba. Next time ni kuwa makini kutochagua viongozi bogus mafisadi.
 
Ndugu yangu huo ndio ukweli, angalia Airport mpya, Makao makuu ya Dodoma, SGR, Bwawa la Nyerere na miradi mingi tu ni michakato ya muda mrefu huwezi mwezi tu ukasema tunaanza mradi mkubwa kama SGR kesho ni mambo yanapitia process ndefu kuandaa mradi. Hata Kikwete yeye alirithi mambo aliyoanza Mkapa. ILa JPM alikuwa na uthubutu na vilikuwa vipaumbele vyake. Kila Rais anakuja ndio ilani ipo labda ya miaka 5 na akafanya yale anayodhani muhumi kwake na mengine akaacha yaendelee akaja mwingine akaona hili muhimu kwake kuliko lile, ila ni Ilani ya chama tawala.
Michakato haina tija. Watu tunataka utendaji maamuzi na utendaji. Habari za ipo kwenye mchakato na upembuzi yakinifu ni za miaka mingi sana.
 
Hivi unadhani mchakato wa kujenga SGR umechukua mwaka mmoja au miwili? Ni sahihi alivyosema kuwa mchakato ulianza tangu enzi ya Mkapa. Pengine ingewezekana labda ujenzi ungeanza mapema zaidi lakini nina hakika yale ma'feasibility studies' na ma'costing' siyo kitu cha kutengeneza mwaka mmoja au miwili, wachilia mbali kutengeneza hayo matenda husika.

Rapid Transit yenyewe ilichukuwa zaidi ya miaka kumi kukamilika itakuwa SGR?

Musichukulie kila kitu kuwa negative jamani mengine ni historia tu.
Mambo ya kusadikika haya

Eti pengine mchakato ulianza miaka mingi, mchakato upi huo wa kuchukua miaka zaidi ya 20?

JPM ni miaka 5 tu kafanya kazi utadhani kakaa madarakani miaka 10

Na huyo JK angeijengaje hiyo SGR na huo ufisadi mkubwa kwenye uongozi wake?
 
Hakuna raia wa kawaida anajali au kujihangaisha na mipango na michakato, raia wanachotaka kuona ni utekelezaji na matokeo tu. Wanataka kuona vitu halisi sip story, maneno na ahadi.
Sahihi kabisa maneno sio utekelezaji wala hayafanyi vitu vitokee Mipango inaweza kuwa kwenye makaratasi safi kabisa ila utekelezaji wake ikawa kimbembe ndo wanasiasa wetu wapo hivyo maneno tu vitendo haba.
 
Mradi huwa unaanza pale unapoanza kutekelezwa kwa vitendo, hayo mambo mengine huwa ni mbwembwe tu.
Uko sahihi sana na kila mradi uko na mpango kazi wake 'Works Program" inaonyesha kila hatua ya mradi mobilization, site clearance et al tena kwa muda husika na kwa tarehe hakuna porojo wala siasa kamą kuna mabadiliko maana hiyo works program itafanyiwa amendments tuache siasa kwenye kila kitu maneno sio vitendo.
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Huyu atajichomeka chomeka mpaka Mungu atakapompenda zaidi. Mawahili wa Msoga huyo.
 
Mbona na wewe hutaki aongee ukweli wake, especially kama kuna mazingira yanayolazimisha kutoa huo ufafanuzi?
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Kwani yeye JPM hakukuta kazi zilizoanzishwa na JK? Haya mambo yote yako kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa mwaka 2000. Na humo ndiyo CCM wanapoandika Ilani ya uchaguzi wanasoma na kuweka mambo watakayotekeleza. Projects zote ukiacha uwanja wa ndege wa Chato, daraja la Busisi na Bwawa la umeme la Nyerere vimo kwenye hiyo document. Alianza ku-implement Mkapa mwenyewe, akafuata JK na Magufuli naye akafanya ya kwake. Na sasa Samia anamailizia viporo na kufanya mengine.

Halafu kwa kuwa vision 2025 ndiyo inamalizika mwaka kesho, tayari timu ya vision 2050 chini ya Waziri Kitila Mkumbo imeanza kukusanya maoni na inaandika hiyo vision ambayo ndiyo itatuongoza hadi mwaka 2050
 
Kikwete mpenda sifa, kila bit anataka atembee nalo. Katika maraisi wote wastaafu kutokea huyu ndo ana mdomo hatari
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Mzee anatupanga sio , au ni uzee pia unachangia
 
Kikwete ni mfalme Juha mchango pekee naouona ni kutokuja kuwa na mtu kama yeye na mfano wake akina Makamba. Next time ni kuwa makini kutochagua viongozi bogus mafisadi.
Wenye nchi hawatakubali kuongonzwa na mshamba wa madaraka km mzilikande jiwe kiongozi wa malaika 😂😂😂😆
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Au atuambie project alizoanzisha Mwinyi kisha akamuachia mkapa, yeye katekeleza?
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
matokeo ya kupimwa tezi dume yanamsumbua oblangata
 
Back
Top Bottom