- Upembuzi yakinifu umeshafanyika, na zinangojwa fedha tu, au hata kusoma kwako ni matatizo? Na nilikwambia hapo awali waliochelewesha ni Rwanda, kwa hiyo, Sitta kwa sasa yupo Burundi kuafikiana kila mmoja wao atachangia vipi bila kuwangoja Rwanda. Au nalo huelewi? Kwa akili yako wewe umeona upo hatua gani?
-Wajapani wana mapendekezo yao, Wachina wana mapendekezo yao na nnajuwa kuwa kuna kampuni ya Kirusi ina mapendekezo yao. Lakini kumbuka, hayo ni mapendekezo tu na hawajapewa kazi yoyote kuhusu huo mradi, kinachojulikana ni kuwa Kampuni ya Wacanada (Canarail) ndio walipewa kazi ya kuwa "consultants" na wamekamilisha "feasibility study". Upo?
Na hichi ndicho walichokifanya:
Review of existing technical reports completed by BNSF and CPCS;
Develop technical specifications for various gauge alternatives for the upgrade of an existing railway and construction of two new railways;
Review and refine DBI design of two new railways (to Rwanda and Burundi) to minimize earthworks volumes;
Develop Capital cost estimate (CAPEX) and operating cost estimate (OPEX);
Environmental and Social Impact Analysis;
Economic and financial analyses for both freight and passenger traffic on existing line (Tanzania) and future lines (Rwanda and Burundi);
Institutional analysis.
- See more at:
Tanzania 09-064 - Canarail
-Hili swali lako la mwisho halina mantiki, linajibiwa na hilo la pili.