Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Kama cost benefits za reli hujawahi kuijua mpaka sasa over other forms of massive cargo transportation, basi ni kazi bure kukupeleka darasani.

Acha uzembe kaka, malori yenu yapo barabarani then unataka kujenga reli. Weken poliy kwanza ndio mjenge reli ama mtaacha ife kama iliyopo. Issue ni kweli mna nia ya dhati kutumia reli? najua sana cost benefit ila shida mwanasiasa wako aliyepata hela ya dili kadanganywa malori ndio biashara akifika bungeni mwakyembe akisema reli na magufuyli barabara mnajua wanatka wagombee uraisi mnawapinga na kujua wanawakosehsa bniess.
 
Soma kichwa cha habari, mpango wa reli ya kati Kimataifa si Kitaifa. Hivi hizo shule mlisomea au mnasomea ujinga?
Sasa wewe una malengo ya reli ya kimataifa wakati reli ya kitaifa tu imekushinda, sasa hapo hata mbia au mtoa mkopo si-atasita.
Leo Kenya walicho anza ni ya Kitaifa mombasa to nairobi, ndio phase zingine zitafuata, basi na sisi na urasimu wetu, tungekuwa tumeisha anza hata kipande cha dar -moro, au hicho cha isaka kigali, lakini sisi tukaanza na kugawana trc kupitia rites
 

Ni nia tu, nasikia leo kwa jirani wamechimbia jiwe la msingi.
 

..JK and his gov are just too slow.

..MOU kati ya Tz,Brn,na Rw, ilisainiwa mwaka 2009 wakati Dr.Kawambwa ni waziri wa uchukuzi.

..sasa tangu wakati huo sisi tunatangaza "nia", mara tuko na Wachina, mara na Wajapan, haya na wewe umeibua madai kuwa Warusi nao wamo. yaani tumekuwa kama watu tuliochanganyikiwa.

..washirika wenzetu katika mradi huu wameona kuwa hatuko serious, na matokeo yake ni Rwanda kuamua kujenga reli kuelekea Uganda na Burundi.
 

Jokakuu;

Waambie kuwa hupingi anachosema JK. Unachotaka ni matokeo ya kile anachosema. Ujenzi wa miundo mbinu ya nchi isitegemee Burundi au majirani wa Tanzania wanataka nini.

Mikoa ya Kigoma, Rukwa, Kagera ina nguvu kubwa za kiuchumi kuliko Burundi na Rwanda Combined. JK na wenzake waache kutoa ahadi na kufanya vile mjerumani alivyoweza kufanya katika kipindi cha muda mfupi wa utawala wake.
 

JokaKuu hajakurupuka.
Link hiyo ni ya Tuesday, 15 January 2013 07:1 Kuwa na nia na kuhitimisha ni viwili tofauti.
Huko nyuma waziri mmoja alitetea ujenzi wa hekalu lake 600m kwa kusema alikuwa na mradi wa malori ya mizigo (Rwanda-DRC) yanayomwingizia $20000 kila safari. Si yeye pekee. Sasa unategemea ijengwe reli wapoteze hizo?
 

iringa Dodoma tulikua tunatumia siku nzima sasa hivi masaa matatu tu. honngera sana mheshimiwa RJMT. Raisi anazidi kuzindua miradi ya maendeleo wao wanazidi kukopeshana hela za saccos
 
so what exactly is your point...so you think kenyans they just woke up in the morning and started the project....try to to have an open mind with a positive attitude

..I don't think so.

..but I think we are too slow at seizing the opportunities that present themselves before us.

..back in 2009 we signed a MOU with Rwanda, and Burundi, to extend the central rail frm Isaka to Kigali[rwanda], and from Keza to Musongati[burundi].

..since then there has been no movement on Tanzanian side, so out of frustrations, Rwanda decided to spend the funds they have secured to construct a railway line connecting it with Uganda and Kenya, instead of Tanzania.

..Rwanda is landlocked and has a population of 11 million ppl, with the fastest growing economy in the east african region. There was an opportunity to make D'Salaam Rwandas port of choice, but we let that slip thru' our fingers.

..wakati huo huo Raisi wetu anaendelea kurudia kutangaza "nia" ya ujenzi wa reli.
 


mmmmmmmmmmmmmmmm
 
Kwa maoni yangu,serikali ya JK ingejitahidi kwanza kutimiza ahadi lukuki ilizozitoa wakati wa kampeni mwaka2010 badala ya kuendelea kutoa ahadi mpya
 
Kwa maoni yangu,serikali ya JK ingejitahidi kwanza kutimiza ahadi lukuki ilizozitoa wakati wa kampeni mwaka2010 badala ya kuendelea kutoa ahadi mpya
 
I feel like we are aping the Kenyans, especially given the timing.
 

Tukiwa na usafiri wa reli itasaidia kupunguza gharama za usafirishaji. Ukiritimba wa malori ya vigogo nao utapungua. Malori hayo yana madhara makubwa kwa barabara zetu. Naona Kenyatta naye amezindua ukarabati wa reli. Ningependa kuona reli ya Tanga hadi Moshi inakarabatiwa vile vile.
 

Jasusi

Naungana na wewe ni kweli reli ya kati itasaidia sana kukuza uchumi wetu itaunganisha mikoa ya kati mpaka kanda ya ziwa kusafirisha bidhaa.
 
Last edited by a moderator:

Kama ni kauli ya dhati basi ni ya kupongeza lakini kwa udhoefu wangu ni kauli zilizozoeleka ambazo Watz tukiambiwa tunaridhika na maisha yanaendelea!

Nimekua natafakari sana hivi watu ambao tumefeli kuendesha Reli zilizopo,zikafa,tukashindwa kuzifufua! Tunayo miujiza gani ya kujenga Reli ya kisasa na kuiendesha kwa ufanisi?

Bila shaka waliopo madarakani sasa wameshindwa,na wale mbadala wanalumbana,hawakumbuki jukumu lao muhimu kuibana serikali iliyoko madarakani na kuonyesha njia mbadala za kupata ufumbuzi wa matatizo sugu yanayo likabili Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…