Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

ingesaidia sana, kwanza ingepunguza malori njiani, ingepunguza makali ya maisha na ajali za barabaran zingepungaua, lakin mara nyingi viongoz wa afrika ni mashuhuri wa kutoa ahadi zisizotekelezeka. TUTAONA.
 

Unakosea ukifikiri kwamba Kenya inafanya mashindano na Tanzania. Au inajidanganya kwa kuboresha miundo mbinu. These two countries need to develop and fight poverty, irrespective of what the neighbor is doing. Ni kana kwamba unasema Kenya au Tanzania haitafanya miradi ya maendeleo kama nchi mojawapo kati ya hizi mbili haifanyi miradi ya maendeleo. Hii si sahihi. Or else, can you put any numbers to this? I mean, do you have any empirical evidence to support your hypothesis? Also there is a saying that 'if you think you can do a thing or think you can't do a thing, you are right'. Kenyans believe they can roll out this massive airport you are talking about. And they are right!
 
Last edited by a moderator:

Kwenye Blue hapo ndipo inanipa tabu sana kuamini majib ya serikali bungeni kupitia mawaziri wake. Nakumbuka bunge la bajeti lililopita wabunge walipohoji na kusema ni kioja kuanza kujenga bandari bagamoyo kabla ya kufufua reli ya kati, mawaziri wenye zamana husika walikanusha na kusema ujenzi wa bandari bagamoyo hili swala halipo na ni uzushi wa kumchonganisha Rais aonekane anapendelea nyumbani...... mh home sweet home.
 
rELI YA KATI NA tazara KWA SASA zipo dhhofurihali kwa sababu tu, hazipati mizigo ya bandarini. I tell u that hizo doallr 120 za malori toka bandarini mpaka AMI tbt ingepewa reli ya mwakyemebe kungekuwa hakuna migomo , na malori ya zambia yasingekuwa na issue iwapo TZR ingefanya kazi. Naona tunajenga ili tupate ten percent sio nia ya dhati ya kujenga. Wekeni POLICY kuwa hakuna mzigo utakaosaforishwa kwa lori ikiwa reli ipo karibu tuseme 50 km.
 
[h=1]Kenya launches new railway to reach South Sudan and Burundi[/h] President Kenyatta (centre) launched the railway in Mombasa
Continue reading the main story[h=2]Related Stories[/h]

Kenya has formally launched a new, Chinese-financed railway which should extend across East Africa to reach South Sudan, DR Congo and Burundi.
The first section will link the Kenyan port of Mombasa to the capital, Nairobi, reducing the journey time from 15 hours to about four.
It is said to be the country's biggest infrastructure project since independence 50 years ago.
The cost of the railway will be $5.2bn (£3.2bn) - mostly funded by China.
Some Kenyans have complained that the contract was given to the Chinese state-owned China Road and Bridge Corporation (CRBC) without going to tender.
'Historic milestone'Continue reading the main story[h=2]"Start Quote[/h]
The project will define my legacy as president of Kenya"
Uhuru Kenyatta

Kenyan President Uhuru Kenyatta and his Chinese counterpart Xi Jinping agreed the deal in August in Beijing.
It is also hoped that the railway will reduce congestion in Mombasa, one of Africa's busiest ports.
The current railway network dates back to the colonial era.
After the Nairobi section is finished, with completion due in 2017, it will be extended through Uganda, with branch lines west to Kisangani in the Democratic Republic of Congo, south through Rwanda to Burundi and north to South Sudan.
Passenger trains will travel at a top speed of 120 km/h (75 mph), while freight trains will have a maximum speed of 80 km/h.
"What we are doing here today will most definitely transform... not only Kenya but the whole eastern African region," President Kenyatta told crowds at the ceremony, calling it an "historic milestone", the AFP news agency reports.
"As a result East Africa will become a competitive investment destination," the agency quoted him as saying.

Earlier, he said the railway was one of the flagship projects of his government's ambitious Vision 2030 initiative to improve much-neglected infrastructure.
"The project will define my legacy as president of Kenya and it is my personal desire that the implementation is done to the standard," he said in a statement on Wednesday after meeting CRBC officials.
He also thanked the Chinese government for the "massive infrastructural projects in the country", which "reduced the cost of doing business and created employment through increased investments".
Kenya would be working closely with Uganda and Rwanda during the first phase, which would boost ties between the neighbours, he added.
"Kenya will fully meet its obligations towards the project. I will personally oversee its implementation," Mr Kenyatta said.
 
Eti wakenya walikuja kwa Speech ya JK, hiyo ilikuwa si kweli, wao walikuja kwa ajili ya kuwa support ICC na wakishamaliza wanatupa jongoo na mti wake.
Hapa viongozi inabidi waache mambo ya nia, inatakiwa tujifunze kuanza kui implement project haraka iweekanavyo.
 

Where is Tanzania on the map?

Mr.Kikwete i need your answer here!
 
sijui hata nianzie wapi kukujibu? kwanza ulitaka wapanue uwanja wa jomo Kenyatta kupitisha abiria wangapi? milioni 6? iyo inaitwa long time plan. kiasi kwamba kutokana na population growth na ukuaji wa uchumi uwanja hautohitaji kupanuliwa ndani ya miaka hata ishirini. fikra kama zako ndo maana leo morogoro road inabomolewa na kujengwa upya hata miaka kumi tu hazijapita, ushajiuliza ni kiasi gani cha hela kilichopotea hapo? kingine: NDIO Ni kweli kwamba kwa kufanya miradi mingi na kuikamilisha kwa wakati kenya watazidi kuwa super power afrika mashariki. we ulidhania nini inafanya taifa kuwa super power? kupiga domo na ufisadi? miundo mbinu ndo uti wa mgongo wa uchumi popote duniani miundo mbinu ikiimarishwa vingine vyote ujuavyo wewe vitafata. so unavyosema wanajidanganya....... sijui nikuweke katika kundi gani kaka!!
 

Uwe na nia na uhitimishe siku hiyo hiyo? hata wewe ulipotiliwa nia ilichukuwa miezi tisa kuhitimisha kuzaliwa kwako, unalijuwa hilo?
 

Unajuwa "feasibility study" imefanywa na wa Canada imechukuwa muda gani kutoka 2009?

Unafikiri hiyo ni ndoto ya alinacha? unaota na hapo hapo inakuwa?
 
Unajuwa "feasibility study" imefanywa na wa Canada imechukuwa muda gani kutoka 2009?

Unafikiri hiyo ni ndoto ya alinacha? unaota na hapo hapo inakuwa?


..kwani wenzetu walifanya lini feasibility study yao?

..inaelekea JK haiwezi kasi ya Kagame na Kenyatta.
 

Haya yote yakifanyika kabla ya mwaka 2015 basi kura yangu ya rais nawapa CCM ila mbunge lazima nichague wa upinzani, no way.
 

Sisi tumebaki na siasa za maji taka tu serikali kukimbizana na CDM
that's all.
Wenzetu wanafanya sisi tunaongea.
Ni nini kilisababisha ujenzi wa reli from Tz(Isaka) to Kigali (Rwanda) ukaishia hewani mpaka leo hii Rwanda wameungana na Kenya na Uganda kutengeneza reli??

Huu ndiyo unaoitwa UJINGA wa viongozi wa Tanzania, kufikiria kwa kutumia TUMBO.

Kwa mtindo huu Wakenya watatuongoza milele na tutakuwa watumwa wao TU.
cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:

Linganisha uwanja wa Dar na Jomo Kenyata!!!
 

Without forgetting ZeMarcopolo,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…