Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hii mbona ilikuwa tayari ianze kujengwa lakini Rwanda ndio wamechelewesha kwa visa vyao, lakini naona Tanzania na Burundi will go ahead kwani feasibilty imeshafanywa na ujenzi wake hautochukuwa muda mrefu, jisomee zaidi; Canarail reveals Tanzania-Rwanda railway construction underway
Baada ya kuona hiyo link nami pasi hiyana nikaenda huko, lakini kuna mahali nimeona maneno haya;
"Tanzania is currently seeking U$13.3bn to finance infrastructure projects that include railway lines, ports and roads to boost trade with regional partners.
Projects to benefit from the funding will include the rehabilitation of the railway line from Dar es Salaam to Tabora as well as the Kaliua-Mpanda line to Kasanga port on Lake Tanganyika."
Baada ya kuyaona hayo maandishi katika rangi nyekundu nikagundua kuwa sidhani kama kutakuwa na ujenzi mpya bali uboreshaji.
Sasa sina uhakika kama huo ujenzi aliozungumzia JK ndio huu ambao nimeusoma katika hiyo link uliyoweka.