Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Hii mbona ilikuwa tayari ianze kujengwa lakini Rwanda ndio wamechelewesha kwa visa vyao, lakini naona Tanzania na Burundi will go ahead kwani feasibilty imeshafanywa na ujenzi wake hautochukuwa muda mrefu, jisomee zaidi; Canarail reveals Tanzania-Rwanda railway construction underway

Baada ya kuona hiyo link nami pasi hiyana nikaenda huko, lakini kuna mahali nimeona maneno haya;

"Tanzania is currently seeking U$13.3bn to finance infrastructure projects that include railway lines, ports and roads to boost trade with regional partners.
Projects to benefit from the funding will include the rehabilitation of the railway line from Dar es Salaam to Tabora as well as the Kaliua-Mpanda line to Kasanga port on Lake Tanganyika."

Baada ya kuyaona hayo maandishi katika rangi nyekundu nikagundua kuwa sidhani kama kutakuwa na ujenzi mpya bali uboreshaji.

Sasa sina uhakika kama huo ujenzi aliozungumzia JK ndio huu ambao nimeusoma katika hiyo link uliyoweka.
 
Bibie, Rwanda wamechelewesha namna gani? when will you guys stop kidding?

Hivi unachokitaka ni nini haswa? sikuelewielewi. Nani asiyejuwa matatizo yaliopo baina ya Rwanda na Tanzania? labda uwe punguani tu.
 
Hii mbona ilikuwa tayari ianze kujengwa lakini Rwanda ndio wamechelewesha kwa visa vyao, lakini naona Tanzania na Burundi will go ahead kwani feasibilty imeshafanywa na ujenzi wake hautochukuwa muda mrefu, jisomee zaidi; Canarail reveals Tanzania-Rwanda railway construction underway

Bibie, I have gone through your reference and found it bears significant flaws for any serious person to put his trust on it.it has flaws on its statement of the project's cost. In the first place it asserts that the project will cost $5.2Bn, then it later change the figure to $1.452Bn.

Despite of that, in the first place it has noted that the construction project has started "A railway line to connect Rwanda, Burundi and Tanzania is now under construction" , Later it states "It will be to up the governments to solicit funds for the construction to commence," said Donald Gillstrom, senior vice president and chief engineer at Canarail, during the presentation of a feasibility study."It is automatically becomes unclear whether the construction has started or still at the feasibility study stage"??

So Bibie, which is which here? Politics as usual!!!
 
Mimi ni "mmama" au kwa sasa unaweza kuniiita "mbibi" kwani nina wajukuu tayari. Nimelelewa na kukulia katika ukoo uliokuwa na ndugu 11, 10 kati yao ni wanaume, mwanamke nilikuwa peke yangu nyumbani. Nimecheza mpira, nimecheza Karate (Jeet Kune Do), nimepigana sana ngumi na miereka na ndugu zangu wa kiume. Kuna wakati nilikuwa mwanamke pekee Arnatoglou hall anaefanya mazoezi ya ngumi na wanaume, ingawa ni kwa muda mfupi tu.

Huyo ndio FaizaFoxy kwa ufupi.

Jike - Dume Sio?
 
Hivi unachokitaka ni nini haswa? sikuelewielewi. Nani asiyejuwa matatizo yaliopo baina ya Rwanda na Tanzania? labda uwe punguani tu.

Lakini haya matatizo ya Tanzania na Rwanda si ni ya Juzi tu, hayana hata miezi mitatu, nayo yameishakuwa kisingizio cha kutokuboresha usafiri wa reli ya Kati??

Kwa nini hamkosi sababu Jamani? Mmerogwa??
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
wakenya wamechagua rais na wanapiga hatua cc tumechagua mtaalii ndyo tatizo blablaa nyingi
 
wataki JK akitangaza azimio hilo wenzao Kenya wameshatia sahihi ujenzi wa reli kuanzia Mombasa,Uganda hadi Burundi Ruanda na DRC Kongo angalieni BBC news ya leo
inajengwa reli ya kisasa itakayotumika kusafirisha mizigo na abiria
sisi bado tunalia na CCM yajenga nchi au kidumu chama
Tutakufa maskini tunaimba sera za chama ambazo hazitusaidii kiuchumi ndio maana tunachekwa na wenzetu
tatizo watanzania tumefundishwa elimu ya kukariri na sio elimu ya kujitambua.
mtoto akianza darasa la kwanza haambiwi haki zake ni zipi,
hafundishwi kwa vitendo bali kukariri
Huyu hawezi kutofautisha siasa za kudanganyana na siasa za vitendo.
muda tunaotumia humu JF kuimba zito zito au kidumu chame tuutumie kutetea uchumi wa nchi
wanafunzi waliopanga kuandamana kisa zito watumie muda huo kuandamana kudai maisha bora na elimu bora
watanzania tutabaki maskini daima kama tutakubali kudanganywa kila siku na sera za vyama na ahadi feki za maisha bora
amkeni
 
  • Thanks
Reactions: prs
MkamaP, Salary Slip

..lakini JK alishatangaza hii "nia" in 2011.

..sasa tangu wakati huo serikali imefanya nini?

..kwanini in 2013 anarudia kutangaza "nia" aliyokwisha tangaza hapo awali??

..kwanini hatendi??

..wakati mwingine nalazimika kukubali kwamba kuna justification ktk hizi dharau na kejeli toka kwa majirani zetu wa Afrika Mashariki. Uongozi wetu umekuwa wa maneno-maneno tu kama hizo "nia" zinazotangazwa na viongozi wetu.

..someni hapa:Tanzania, Rwanda, Burundi team up on $5bn rail proposal

cc Geza Ulole, Nguruvi3
Mkuu umesahau ile ahadi ya kuifanya kigoma kuwa Dubai ya Africa? mwaka 2014 atairudia tena akitembelea huko
 
Lakini haya matatizo ya Tanzania na Rwanda si ni ya Juzi tu, hayana hata miezi mitatu, nayo yameishakuwa kisingizio cha kutokuboresha usafiri wa reli ya Kati??

Kwa nini hamkosi sababu Jamani? Mmerogwa??

Soma kichwa cha habari, mpango wa reli ya kati Kimataifa si Kitaifa. Hivi hizo shule mlisomea au mnasomea ujinga?
 
wakenya wamechagua rais na wanapiga hatua cc tumechagua mtaalii ndyo tatizo blablaa nyingi

Umenifanya nicheke Japo nina hasira..

Mkuu wetu kabakiza Iceland tu...😉
 
Mi nadhani ni bora kutangaza nia kwanza ili hata critics watoe ya rohoni.Binafsi sioni tatizo liko wapi katika kutangaza nia.Huu ndio msingi wa demokrasia ili wakati utekelezaji wa nia ambazo hazikupingwa unaendelea..nia mpya zipatiwe maoni
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Promises of heaven on earth
 
Hizi tena ni ndoto za alinacha kwani kama kashindwa kuwapa wanachi wake umeme wa uhakika,atawezaje kujenga reli ambayo gharama zake zitawatafuna watanganyhika?
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
 
Soma kichwa cha habari, mpango wa reli ya kati Kimataifa si Kitaifa. Hivi hizo shule mlisomea au mnasomea ujinga?

Faiza Bwana? Kwa hiyo sio reli yenye lengo la kukwamua watanzania na tatizo la usafiri? mnataka kushindana na coalition of the willing for the sake of competition sio? blinded.
 
Reli ya nini wakati malori yanatosha. Ni sawa na kubadilisha bodi la Bajai na kuweka la totoya ili nawe uweonekane =una totoya.
Kama cost benefits za reli hujawahi kuijua mpaka sasa over other forms of massive cargo transportation, basi ni kazi bure kukupeleka darasani.
 
Faiza Bwana? Kwa hiyo sio reli yenye lengo la kukwamua watanzania na tatizo la usafiri? mnataka kushindana na coalition of the willing for the sake of competition sio? blinded.

Naona hata huelewi hata maana ya Kimataifa ni nini. Unabisha ili mradi ubishe, sioni logic yako iko wapi.
 
Back
Top Bottom