Sasa naomba twende pole pole wote kwa pamoja including JokaKuu, DAR si LAMU, dolevaby! Kwanini kila kiongozi anayeingia anaonekana hafai?! Is it simply because anatoka CCM, ONLY THAT? If so, why do we fail even in our personal efficiency?! Mtu anaanzisha biashara lakini anakuwa less responsible na committed kwenye biashara yake mwenyewe!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? ? Fanya research kutafuta ni wangapi walifilisika/wamefilisika kwavile tu waliwaachia ndugu kuendesha biashara zao....is it because of CCM?! Mtu ame-graduate anaajiriwa na foreign bank, anafika kule anaiba!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi?! Mtu anaajiriwa, anaishi Tegeta ofisi Posta lakini anaamka saa 12 asubuhi!!! Huyu anachelewa kazini kwa ajili ya CCM?! Kuna huyu mwingine; anafanya kazi kama Customer Service officer....anamuona mteja anakaribia kaunta yeye ndo kwanza anatoka anaelekea kitchenette kunywa....is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? Umesema tena kuhusu kupata kiongozi mzuri....kila mtu angependa tupate kiongozi mzuri lakini awali nilikuuliza; for how long are you going to stay with that "exceptional good leader" from a decayed community? And how are we going to know kwamba huyu ndie kiongozi mzuri among many other bad leaders? Should we run polygraph to all Presidential and MP Candidates?! What you're saying sounds like tossing the dice with hundreds faces and finding the probability that Number 1 out of other remaining 100's ndiyo itakuwa juu!!!! Why do you guy believe it's difficult for the society to change no matter what?! Ni kweli mnaamini kwamba it's impossible for the society to change or because you believe suluhisho ni kuindoa CCM?! Can you give me one case study, Africa in particular(ambako ndiko hatutaki kubadilika) ambako baada ya kutoa chama hiki na kuja kingine then nchi ikapiga hatua ile mbaya!!! Can you give me one?! Do I need to remind you mbwembwe za Hayati Fredrick Chiluba ambae aliingia Zambia kwa gia za kupiga vita ufisadi hadi akamweka ndani Mzee Kaunda lakini baadae Chiluba yule yule akageuka kuwa fisadi namba moja nchini Zambia?! Do I need to remind you about the Villa built in the home village of Jacob Zuma of S.A kwa kutumia billions of government money na sasa Wizara ya Habari nchini humo imepiga marufuku vyombo vya habari kutoa picha ya hiyo Villa?! Do I need to remind you of Morsi of Egypt ambae baada ya kuchaguliwa akaanza kuwapendelea watu wake wa Muslim Brotherhood?! Do I need to remind you of Karim Abdoulaye Wade, the son of the former Senegal Presdient ambae alikuwa(Karim) Waziri na kutuhumiwa kufanya ufisadi wa USD 1.4 billion? Mifano ipo mingi....kwa hiyo la kwanza kabisa likiwezekana miongoni mwetu ni kumpata kiongozi mzuri.
ikishindikana hilo, basi ni kuwabadili jamii ili wawe wanaona kutetea ujinga/kiongozi mbaya athari wana zipata wenyewe, iwe kwa kukosa elimu bora , umeme, usafiri matibabu na makazi bora na lishe. sisi jamii tukijiweka sawa kwenye makazi bora na chakula basi tutakuwa na nguvu na nafasi ya kuona au kutatua matatizo mengine iwe ya kiongozi, elimu, umeme, usafiri, nini cha kuanza nk nk.
Mkuu August and allies, let me say this! If you're all politicians, then go on na umuhimu wa kubadilisha uongozi kama suluhisho la uozo wa nchi wa nchi....go on coz' I can finally understand what you're fighting for; fighting for POWER, fighting for your daily bread, PERIOD!! But if you're not Politicians, u're like me, ordinary citizens; then don't be MANIPULATED that easily by these politicians!!! Generally speaking, over 90% of them are one and the same, whether are from ruling or opposition! It's very unfortunately mtu akisema hivyo mnaamini kwamba amekata tamaa simply because wanasiasa wamewachambua na mkachambulika sawa sawa, wakawaahidi neema kupitia mdomoni badala ya kupitia matendo yao, wakakata into pieces( kwa kutumia maneno matamu) kisha wakawaunganisha tena na kuwa kipande kimoja kilichojawa na matumaini, you've been completely manipulated...in short, u're the victims of politicians!!! Ngoja tujikumbushe simulizi ya God Muweza wa Yote wakati anatoa ahadi kwa Taifa Teule:
The Lord said, "I have indeed seen the misery of my people in Egypt. I have heard them crying out because of their slave drivers, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the Egyptians and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites.(Exodus 3: 7-9)!!!!
Let me ask you something! How does it sound and taste when we replace the words: The Lord with Mr. Politician, Egypt with Tanzania, their slave drivers with Corrupt CCM Leaders, Egyptians with CCM and similarly replacing Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites with Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde so that the verse can alternatively be read as:
Mr. Politician said, "I have indeed seen the misery of my people in Tanzania. I have heard them crying out because of Corrupt CCM Leaders, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the CCM and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde!!" How does it sound? Beautiful voice, right?
Sasa ikiwa Mungu tu amewapiga changa la macho Wayahudi ambao tunaambiwa ni taifa teule!! Badala ya kuwapa spacious/large land, hadi leo Wayahudi wana nchi ambayo the widest point, East to West is only 85 miles!! North to South at the longest interval is only 290 miles!!! Badala ya kuwapa nchi inayotiririsha maziwa na asali kama alivyoahidi, kawapa nchi full majanga!! Mbaya zaidi, anaenda kuwapa maziwa na asali wabaya wao(Waarabu)!!! UKienda Qatar kila raia anaishi kama mfalme tena bila jasho....!!! Najua watatokea wana-Theolojia na kutoa tafsiri zao za kichwani wakati kila kitu kipo wazi hapo!!!!
So, the point is; ikiwa Mungu tu kawapiga changa la macho wapendwa wake Wayahudi but you still belive in these guys from politics?!! Tukisema hivi si kwamba ni kukata tamaa bali ni kuwaambia never trust these politicians!!