Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

kwa hiyo la kwanza kabisa likiwezekana miongoni mwetu ni kumpata kiongozi mzuri.
ikishindikana hilo, basi ni kuwabadili jamii ili wawe wanaona kutetea ujinga/kiongozi mbaya athari wana zipata wenyewe, iwe kwa kukosa elimu bora , umeme, usafiri matibabu na makazi bora na lishe. sisi jamii tukijiweka sawa kwenye makazi bora na chakula basi tutakuwa na nguvu na nafasi ya kuona au kutatua matatizo mengine iwe ya kiongozi, elimu, umeme, usafiri, nini cha kuanza nk nk.
Sasa naomba twende pole pole wote kwa pamoja including JokaKuu, DAR si LAMU, dolevaby! Kwanini kila kiongozi anayeingia anaonekana hafai?! Is it simply because anatoka CCM, ONLY THAT? If so, why do we fail even in our personal efficiency?! Mtu anaanzisha biashara lakini anakuwa less responsible na committed kwenye biashara yake mwenyewe!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? ? Fanya research kutafuta ni wangapi walifilisika/wamefilisika kwavile tu waliwaachia ndugu kuendesha biashara zao....is it because of CCM?! Mtu ame-graduate anaajiriwa na foreign bank, anafika kule anaiba!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi?! Mtu anaajiriwa, anaishi Tegeta ofisi Posta lakini anaamka saa 12 asubuhi!!! Huyu anachelewa kazini kwa ajili ya CCM?! Kuna huyu mwingine; anafanya kazi kama Customer Service officer....anamuona mteja anakaribia kaunta yeye ndo kwanza anatoka anaelekea kitchenette kunywa....is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? Umesema tena kuhusu kupata kiongozi mzuri....kila mtu angependa tupate kiongozi mzuri lakini awali nilikuuliza; for how long are you going to stay with that "exceptional good leader" from a decayed community? And how are we going to know kwamba huyu ndie kiongozi mzuri among many other bad leaders? Should we run polygraph to all Presidential and MP Candidates?! What you're saying sounds like tossing the dice with hundreds faces and finding the probability that Number 1 out of other remaining 100's ndiyo itakuwa juu!!!! Why do you guy believe it's difficult for the society to change no matter what?! Ni kweli mnaamini kwamba it's impossible for the society to change or because you believe suluhisho ni kuindoa CCM?! Can you give me one case study, Africa in particular(ambako ndiko hatutaki kubadilika) ambako baada ya kutoa chama hiki na kuja kingine then nchi ikapiga hatua ile mbaya!!! Can you give me one?! Do I need to remind you mbwembwe za Hayati Fredrick Chiluba ambae aliingia Zambia kwa gia za kupiga vita ufisadi hadi akamweka ndani Mzee Kaunda lakini baadae Chiluba yule yule akageuka kuwa fisadi namba moja nchini Zambia?! Do I need to remind you about the Villa built in the home village of Jacob Zuma of S.A kwa kutumia billions of government money na sasa Wizara ya Habari nchini humo imepiga marufuku vyombo vya habari kutoa picha ya hiyo Villa?! Do I need to remind you of Morsi of Egypt ambae baada ya kuchaguliwa akaanza kuwapendelea watu wake wa Muslim Brotherhood?! Do I need to remind you of Karim Abdoulaye Wade, the son of the former Senegal Presdient ambae alikuwa(Karim) Waziri na kutuhumiwa kufanya ufisadi wa USD 1.4 billion? Mifano ipo mingi....

Mkuu August and allies, let me say this! If you're all politicians, then go on na umuhimu wa kubadilisha uongozi kama suluhisho la uozo wa nchi wa nchi....go on coz' I can finally understand what you're fighting for; fighting for POWER, fighting for your daily bread, PERIOD!! But if you're not Politicians, u're like me, ordinary citizens; then don't be MANIPULATED that easily by these politicians!!! Generally speaking, over 90% of them are one and the same, whether are from ruling or opposition! It's very unfortunately mtu akisema hivyo mnaamini kwamba amekata tamaa simply because wanasiasa wamewachambua na mkachambulika sawa sawa, wakawaahidi neema kupitia mdomoni badala ya kupitia matendo yao, wakakata into pieces( kwa kutumia maneno matamu) kisha wakawaunganisha tena na kuwa kipande kimoja kilichojawa na matumaini, you've been completely manipulated...in short, u're the victims of politicians!!! Ngoja tujikumbushe simulizi ya God Muweza wa Yote wakati anatoa ahadi kwa Taifa Teule:

The Lord said, "I have indeed seen the misery of my people in Egypt. I have heard them crying out because of their slave drivers, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the Egyptians and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites.(Exodus 3: 7-9)!!!!

Let me ask you something! How does it sound and taste when we replace the words: The Lord with Mr. Politician, Egypt with Tanzania, their slave drivers with Corrupt CCM Leaders, Egyptians with CCM and similarly replacing Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites with Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde so that the verse can alternatively be read as:

Mr. Politician said, "I have indeed seen the misery of my people in Tanzania. I have heard them crying out because of Corrupt CCM Leaders, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the CCM and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde!!" How does it sound? Beautiful voice, right?

Sasa ikiwa Mungu tu amewapiga changa la macho Wayahudi ambao tunaambiwa ni taifa teule!! Badala ya kuwapa spacious/large land, hadi leo Wayahudi wana nchi ambayo the widest point, East to West is only 85 miles!! North to South at the longest interval is only 290 miles!!! Badala ya kuwapa nchi inayotiririsha maziwa na asali kama alivyoahidi, kawapa nchi full majanga!! Mbaya zaidi, anaenda kuwapa maziwa na asali wabaya wao(Waarabu)!!! UKienda Qatar kila raia anaishi kama mfalme tena bila jasho....!!! Najua watatokea wana-Theolojia na kutoa tafsiri zao za kichwani wakati kila kitu kipo wazi hapo!!!!

So, the point is; ikiwa Mungu tu kawapiga changa la macho wapendwa wake Wayahudi but you still belive in these guys from politics?!! Tukisema hivi si kwamba ni kukata tamaa bali ni kuwaambia never trust these politicians!!
 
Good, now let's do it this way....
Kwanza nitangulie kusema wazi kwamba am very confident we've very limited resources as compared to multiple objectives ambazo kwa kiasi kikubwa ziko down....but you believe otherwise! I hope hauleti politics kwenye serious issues.
...kweli we do, but, not in education.
...look, kila nchi ina limited resources. if you get my point!

If so, then nisaidie yafuatayo.
A. What're our total revenues...(ambayo yanaingia kwenye vitabu)
B. Ni mapato kiasi gani yanapotea kwa njia mbalimbali kv wizi, corruption, ukwepaji kodi?
A+B=Mapato ambayo tulitakiwa kuwa nayo
C. nitajie bajeti ya vitu ambavyo ni vipaumbele na niambie vingetekelezeka kwa asilimia ngapi basing on Actual Revenues(A+B)
D. Kama hivyo vipaumbele visingeweza kuwa fully handled, tell me ni muda gani ungehitajika kukamilisha vipaumbele vyote basing on Actual Revenue (A+B)
...unataka kunifanyisha research? utanilipa?

...kwa ufupi, nenda kwenye web ya tume ya mipango, utakuta hizo taarifa, tena kwenye kitabi kimoja, kinajulikana kama "hali ya uchumi wa taifa"

NB: UKishindwa kujibu hayo maswali nitafahamu unaleta siasa kwenye serious issues.
...nimeshindwa, ila zingatia nilichokueleza hapo juu.
 
...kweli we do, but, not in education.
...look, kila nchi ina limited resources. if you get my point!
Good, now we're going! Yes, every country has limited resources, and in fact, even in intermediate economics u'll be told resources are limited as compared to needs and wants! Sasa hapo kwenye needs and wants ndipo lilipo tatizo. A particular country may need addition resources so as to put surveillance cameras across all streets of big cities while other countries need for the same to provide her people with clean and safe water, roads, schools, teachers, books....to the point kwamba total budget to cover all (say) is USD 15 billion while ur revenues is USD 10 billion! What next wakati yote ni muhimu...huwezi kusema elimu ndo bora kuliko vyote wakati wengine hata maji ya kunywa hawana! Huwezi kusema nitumie bajeti yote kuajiri walimu na kununua vitabu wakati madarasa hauna! Hapo lazima uchague amongo multiple objectives, kwamba X% iende huku, Y% iende kule n.k! Kama ndivyo, then uta-cover only the portion of selected priorities!
...unataka kunifanyisha research? utanilipa?
Do it at the expense of the country you love.
...kwa ufupi, nenda kwenye web ya tume ya mipango, utakuta hizo taarifa, tena kwenye kitabi kimoja, kinajulikana kama "hali ya uchumi wa taifa"
Mie ninayo document ya "Hali ya Uchumi wa Taifa 2012/2013" from Ministry of Finance! Hii document haijibu maswali yote niliyokuuliza coz' the document answer only question A-Total Revenues. Kwahiyo unaweza kuendelea kujibu mkuu, au toa direct link hapa manake hata huko tume ya mipango cjakuta document inayojibu maswali yangu.
...nimeshindwa, ila zingatia nilichokueleza hapo juu.
Acha ujanja ujanja wewe, jibu maswali; kama nizingitie ulichonieleza hapo juu basi ni kama unaniambia huna majibu; au unasemaje? Kama unayo, weka hapa!!
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Big up MH. JMK, Kwa sekta ya miundo mbinu nakupa hongera umeimarisha na nchi sasa inapitika hongera sana, jitahidi kuunganisha mikoa ya kusini na magharibi na mikoa mingine kabla hujatoka madarakani.
 
Acha ujanja ujanja wewe, jibu maswali; kama nizingitie ulichonieleza hapo juu basi ni kama unaniambia huna majibu; au unasemaje? Kama unayo, weka hapa!!
...to cut the chase. ni hivi, naona hujanielewa toka mwanzo. point yangu kuu ni kuwa tunatumia hizo resources hovyo, full stop. tunazo za kutosha, as a country, kuleta mabadiliko kwenye elimu. kama unabisha hili. basi, tukubali kubishana, yaishe!

...kuna wasteful spending nyingi tu. na kama haitoshi, kodi tunayokusanya ni ndogo, ukizingatia ukwepaji na misamaha. hata nikikuwekea links ngapi haitasaidia!

...NasDaz, issue hapa ni management ya resources, sio limitedness yake.

NB; usiniletee ujanja wa ushawishi, ati nitumikie nchi yangu. tayari kwa post hizi, nishatumika!
 
Nyinyo ndo mnashindwa kunielewa kwa sababu yote hayo unayosema ni matokeo tu ya kile ninachokisema hapa na nyinyi mnashindwa kuelewa! Msingi wa hayo yote ni kuwa na Irresponsible and non-committed society ambayo inatokana na jamii yenyewe kutokuwa na maadili! Tatizo lilipo kati yetu ni kwamba wakati nyinyi mnaamini kwamba suluhisho ni kubadilisha uongozi mimi naamini suluhisho ni jamii kubadilika coz' hata hao viongzi wapya watakuwa wanatoka kwenye jamii ile ile....decayed society!
 
Tatizo la Tanzania sasa limefika pazuri, ngoma lazima ichezwe.
1. Wakati vingozi wa taifa (kenya) wana haha kuweka vipaumbele vya nchi yao, yeye /wao wanapanga deal za kuwaibia wabongo na kujaribu kuweka ubinafsi, ukwao etc mezani.
2. Alipo/walipo enda kwenye mikutano ya EAC, aka/waka onekana hawana hoja, wame/amekuja we/mweupe, kichwani empy zaid ya kuleta hadithi za nyerere za miaka iliyo pita badala ya kuweka mezani challenge zenye akili.
3. Anyway jamaa, wakasema ngoja tuwaonyeshe kazi, wakaja juu ooh, unajua mnatutenga, kama sio uzuzu ni nini.
4. Sasa hawajui lipi waanze na lipi wamalize,leo, reli, kesho bagamoyo (home), sijui kigamboni, mara mkukuta sijui nini wanaita kitu kama matokeo makubwa, shida tupu kusimamia miradi walio jianzieshia kwa fedha za wizi, kenya wanamipango iliyo enda shule hawakurupuki, wala haitoki tuu mdomoni.
5. Tanzania tunahitaji Nyerere afufuke.....
 
Green peas-kelvedon triumph.
1. Climatic range-cool or warm
2.place in rotation- legume
3. Manure-20 tons per acre
4.mulch- not neccesary
5.pests- aphids
6.harvest- for freash market seeds should be soft and not fully round
7.market- main towns
8.nutritional value- excellent source of proteins. Siasa imenishinda nimerudi kilimo.
 
Nyinyo ndo mnashindwa kunielewa kwa sababu yote hayo unayosema ni matokeo tu ya kile ninachokisema hapa na nyinyi mnashindwa kuelewa! Msingi wa hayo yote ni kuwa na Irresponsible and non-committed society ambayo inatokana na jamii yenyewe kutokuwa na maadili! Tatizo lilipo kati yetu ni kwamba wakati nyinyi mnaamini kwamba suluhisho ni kubadilisha uongozi mimi naamini suluhisho ni jamii kubadilika coz' hata hao viongzi wapya watakuwa wanatoka kwenye jamii ile ile....decayed society!
...unaposema "nyinyi" unamaanisha mimi na kina nani?

...hamna sehemu nilosema dawa ni kubadilisha uongozi. ila, ukiniuliza, nitakwambia vyote ni sahihi.
 
Wewe na wale niliowataja kwenye post #221 including wale wote ambao wanadhani suluhisho pekee la haya mambo ni kuitoa CCM madarakani wakati hata hao waliopo upinzani wala hawaoneshi kama wana tofauti na CCM.
...hamna sehemu nilosema dawa ni kubadilisha uongozi. ila, ukiniuliza, nitakwambia vyote ni sahihi.
Alah! Kumbe wewe si mmoja wao lakini unaamini vyote ni sahihi?!! Kipi na kipi? Kubadilisha utawala na...?
 
Jenga reli Kikwete hata kama hawakukubali lakini wataitumia kama wanavyokaa pembeni na kushangaa ujenzi wa mabarabara. Usiwajali maneno na dharau ndiyo jadi yao.
 
Sasa naomba twende pole pole wote kwa pamoja including JokaKuu, DAR si LAMU, dolevaby! Kwanini kila kiongozi anayeingia anaonekana hafai?! Is it simply because anatoka CCM, ONLY THAT? If so, why do we fail even in our personal efficiency?! Mtu anaanzisha biashara lakini anakuwa less responsible na committed kwenye biashara yake mwenyewe!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? ? Fanya research kutafuta ni wangapi walifilisika/wamefilisika kwavile tu waliwaachia ndugu kuendesha biashara zao....is it because of CCM?! Mtu ame-graduate anaajiriwa na foreign bank, anafika kule anaiba!! Is it because of CCM is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi?! Mtu anaajiriwa, anaishi Tegeta ofisi Posta lakini anaamka saa 12 asubuhi!!! Huyu anachelewa kazini kwa ajili ya CCM?! Kuna huyu mwingine; anafanya kazi kama Customer Service officer....anamuona mteja anakaribia kaunta yeye ndo kwanza anatoka anaelekea kitchenette kunywa....is it because of CCM au ni kwa sababu hatujabadilisha uongozi wa juu wa nchi!? Umesema tena kuhusu kupata kiongozi mzuri....kila mtu angependa tupate kiongozi mzuri lakini awali nilikuuliza; for how long are you going to stay with that "exceptional good leader" from a decayed community? And how are we going to know kwamba huyu ndie kiongozi mzuri among many other bad leaders? Should we run polygraph to all Presidential and MP Candidates?! What you're saying sounds like tossing the dice with hundreds faces and finding the probability that Number 1 out of other remaining 100's ndiyo itakuwa juu!!!! Why do you guy believe it's difficult for the society to change no matter what?! Ni kweli mnaamini kwamba it's impossible for the society to change or because you believe suluhisho ni kuindoa CCM?! Can you give me one case study, Africa in particular(ambako ndiko hatutaki kubadilika) ambako baada ya kutoa chama hiki na kuja kingine then nchi ikapiga hatua ile mbaya!!! Can you give me one?! Do I need to remind you mbwembwe za Hayati Fredrick Chiluba ambae aliingia Zambia kwa gia za kupiga vita ufisadi hadi akamweka ndani Mzee Kaunda lakini baadae Chiluba yule yule akageuka kuwa fisadi namba moja nchini Zambia?! Do I need to remind you about the Villa built in the home village of Jacob Zuma of S.A kwa kutumia billions of government money na sasa Wizara ya Habari nchini humo imepiga marufuku vyombo vya habari kutoa picha ya hiyo Villa?! Do I need to remind you of Morsi of Egypt ambae baada ya kuchaguliwa akaanza kuwapendelea watu wake wa Muslim Brotherhood?! Do I need to remind you of Karim Abdoulaye Wade, the son of the former Senegal Presdient ambae alikuwa(Karim) Waziri na kutuhumiwa kufanya ufisadi wa USD 1.4 billion? Mifano ipo mingi....

Mkuu August and allies, let me say this! If you're all politicians, then go on na umuhimu wa kubadilisha uongozi kama suluhisho la uozo wa nchi wa nchi....go on coz' I can finally understand what you're fighting for; fighting for POWER, fighting for your daily bread, PERIOD!! But if you're not Politicians, u're like me, ordinary citizens; then don't be MANIPULATED that easily by these politicians!!! Generally speaking, over 90% of them are one and the same, whether are from ruling or opposition! It's very unfortunately mtu akisema hivyo mnaamini kwamba amekata tamaa simply because wanasiasa wamewachambua na mkachambulika sawa sawa, wakawaahidi neema kupitia mdomoni badala ya kupitia matendo yao, wakakata into pieces( kwa kutumia maneno matamu) kisha wakawaunganisha tena na kuwa kipande kimoja kilichojawa na matumaini, you've been completely manipulated...in short, u're the victims of politicians!!! Ngoja tujikumbushe simulizi ya God Muweza wa Yote wakati anatoa ahadi kwa Taifa Teule:

The Lord said, "I have indeed seen the misery of my people in Egypt. I have heard them crying out because of their slave drivers, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the Egyptians and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites.(Exodus 3: 7-9)!!!!

Let me ask you something! How does it sound and taste when we replace the words: The Lord with Mr. Politician, Egypt with Tanzania, their slave drivers with Corrupt CCM Leaders, Egyptians with CCM and similarly replacing Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites and Jebusites with Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde so that the verse can alternatively be read as:

Mr. Politician said, "I have indeed seen the misery of my people in Tanzania. I have heard them crying out because of Corrupt CCM Leaders, and I am concerned about their suffering. So I have come down to rescue them from the hand of the CCM and to bring them up out of that land into a good and spacious(large) land, a land flowing with milk and honey-the home of the Sukuma, Chaga, Hehe, Haya, Mwera and Makonde!!" How does it sound? Beautiful voice, right?

Sasa ikiwa Mungu tu amewapiga changa la macho Wayahudi ambao tunaambiwa ni taifa teule!! Badala ya kuwapa spacious/large land, hadi leo Wayahudi wana nchi ambayo the widest point, East to West is only 85 miles!! North to South at the longest interval is only 290 miles!!! Badala ya kuwapa nchi inayotiririsha maziwa na asali kama alivyoahidi, kawapa nchi full majanga!! Mbaya zaidi, anaenda kuwapa maziwa na asali wabaya wao(Waarabu)!!! UKienda Qatar kila raia anaishi kama mfalme tena bila jasho....!!! Najua watatokea wana-Theolojia na kutoa tafsiri zao za kichwani wakati kila kitu kipo wazi hapo!!!!

So, the point is; ikiwa Mungu tu kawapiga changa la macho wapendwa wake Wayahudi but you still belive in these guys from politics?!! Tukisema hivi si kwamba ni kukata tamaa bali ni kuwaambia never trust these politicians!!
kwangu mimi si pigani madaraka, wala sina kadi ya chama chochote au kushabikia kimojawapo, zaidi ya kadi ya ccm kutokana na hali halisi, ambayo sijailipia zaidi ya 20 years.
sasa kutokana na jibu lako la kufananisha wanaopinga serikali iliyopo au maoni yako, inaonyesha fikra zako ni katika kutetea status quo, badala ya kuongelea vitu in reality. na ukienda mbele zaidi kuhusu kubadili chama au kiongozi, unatakiwa kuelewa kuna wakati chama chochte duniani kinaweza kupita katika kipindi kizuri na chama hicho hicho kupita katika wakati mbaya, so tu ccm na hivyo vingine na vivyo hivyo kwenye kiongozi au viongozi, kumekuwepo wazuri, wa wastani na mapopo., vivyo hivyo kwa vya upinzani iwe cuf udp, cdm nk.
 
Kipi na kipi? Kubadilisha utawala na...?
...unafikiri kuwa kuna majibu rahisi kwenye hili?

...ukiniuliza, nitakwambia, let us deal with these issues on case by case basis. kwa maana ya kwamba, kuna haja ya kuangalia uongozi -hapa nikimaanisha, uongozi wowote ule uwao, usilete story za vyama, i'm not interested- na kuona tufanye nini kuhusu hilo. pia, elimu kwa watanzania, hasa, ya kujielewa, kuelewa wengine, na kuelewa mahitaji yao, ni muhimu sana.

...hakuna njia rahisi, inabidi tu shughulikie haya.
 
NasDaz,

..uongozi una nafasi yake ktk kuleta mabadiliko ktk jamii.

..nadhani hilo unashindwa kulielewa au umeamua kwa makusudi kulipinga.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz,

..uongozi una nafasi yake ktk kuleta mabadiliko ktk jamii.

..nadhani hilo unashindwa kulielewa au umeamua kwa makusudi kulipinga.
Nakubaliana na wewe kwa 100% lakini kwa sasa sijaona. Lakini kwa upande mwingine, kiongoz hata kama ni bora namna gani bado hawezi kuwa madarakani milele, itafika wakati ataondoka na kama system haikubadilika, watu wataendeleza business as usual. Tatizo ni kwamba wote mnaishia kusema hilo ndo suluhisho lakini hamtaki kuonesha mfano ili hata nami nishawishike!
 
...unafikiri kuwa kuna majibu rahisi kwenye hili?

...ukiniuliza, nitakwambia, let us deal with these issues on case by case basis. kwa maana ya kwamba, kuna haja ya kuangalia uongozi -hapa nikimaanisha, uongozi wowote ule uwao, usilete story za vyama, i'm not interested- na kuona tufanye nini kuhusu hilo. pia, elimu kwa watanzania, hasa, ya kujielewa, kuelewa wengine, na kuelewa mahitaji yao, ni muhimu sana.

...hakuna njia rahisi, inabidi tu shughulikie haya.
Hapa nakubaliana na wewe, na ukisema tuache mambo ya vyama, ndo tutaenda pamoja zaidi coz' even myself am not interested coz' wote hao kwangu ni one and the same. Anza lecture sasa huku ukikumbuka kwamba unapozungumzia kubadilisha uongozi basi moja kwa moja unahusisha vyama in other way round.
 
Back
Top Bottom